Tangazo la kuitwa kwenye usaili- Baraza la mitihani Tanzania

OMJ

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
210
170
BARAZA LA MITIHANI TANZANIA

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Baraza la Mitihani la Tanzania linawatangazia walioorodheshwa hapa chini ambao waliomba kazi za kada mbalimbali kuwa wamechaguliwa (shortlisted) kuhudhuria usaili wa mchujo utakaofanyika tarehe 25/05/2016 kuanzia saa 1:00 asubuhi katika ofisi za baraza za Mitihani zilizopo Mbezi Juu mkabala na Shule ya St. Mary’s Mbezi.

Wasailiwa wanatakiwa kuzingatia yafuatayo:-

1. Kila msailiwa aje na vyeti halisi (original certificates) kuanzia kidato cha nne, sita, stashahada, stashahada ya juu, shahada na kuendelea kutegemea na sifa za mwombaji.

2. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi

3. Wasailiwa watatakiwa kuja na vitambulisho kwa ajili ya utambuzi; mfano kitambulisho cha kupigia kura au cha kazi, kadi ya benki, Hati ya kusafiria (Passport) n.k.

4. Kuzingatia muda uliopangwa.

NB:- “Testimonials”, provisional results, statements of results na results slips’

HAVITAKUBALIWA.

Orodha ya wasailiwa ni kama ifuatavyo:-

(A) KADA YA EXAMINATIONS OFFICER II - CHEMISTRY

NA JINA

1 ABDULMAJID YUSUPH AHMAD

2 ADAM R. MBUMILLA

3 ALLY M. LUHAGA

4 AMRI ISSA RULAMYE

5 AZARIA MIKAS

6 BAHATI ONESMO MLAY

7 BARAKA SAMSON

8 BEATRICE KIAGHO

9 BIANCA G. MACHUMU

10 BUHERUKO KANANI JONAS

11 CHARLES J. MKARUKA

12 CHELESTINO MYOVELA

13 CHIDYA SS

14 CHRISTIAN NKOSWE

15 DAMIAN PHILEMON

16 DANIEL MWAKISALE

17 DAUDI MDUKU MASANJA

18 DAUDI MZEEWETU

19 DICKSON JONATHAN KAJUNA

20 EDWARD RWEGASILA

21 EMMANUEL D. MALLYA

22 ESTHER SAMWEL KIBDA

23 FADHILI ESTOMINI

24 FADHILI I. DILUNGA

25 FREDRISH SEBASTIAN RUOJA

26 FRUMENCE SERIA ARTIPAS

Inaendelea...... Tembelea tuvoti yetu ya jfasta.com kupitia TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom