Hilo tangazo wameedit
Kwenye website ya utumishi lipo, but hawajaweka majina
Una uhakika?
Majina Yapo bhana ingia kwenye website yao pale kwenye replacement. Wametoa toka tarehe 2/11/2019
Nadhani ndio hayaView attachment TANGAZO-LA-KUITWA-KAZINI-02-NOVEMBA-2019.pdfReplacement sipaoni mkuu
Utaratibu wa kureport kazini upoje mkuu maanaMajina Yapo bhana ingia kwenye website yao pale kwenye replacement. Wametoa toka tarehe 2/11/2019