Tangazo la kitapeli la ajira lililotumia nembo za TRA, hivi ndivyo walivyowaibia watu

Omuzaile

Member
Jan 23, 2019
33
55
Hili tangazo la ajira nilikutana nalo kwenye group moja la WhatsApp, ila nikawa nimelishutukia kuwa Laweza kuwa la kitapeli baada ya kwenda kwenye website ya TRA kulikosa hilo tangazo, pia kufuatia mfumo Wa email ya mtu kwa kutumia gmail.

Lakini kufuatia ugumu wa maisha na kukaa kitaa muda mrefu ikabidi niapply nikisubiri itakuwaje, matokeo yake ni hayo kwenye hizo picha nilizoaambatanisha!

IMG-20210228-WA0007.jpg
IMG_20210317_143215_780.jpg
Screenshot_2021-03-17-13-51-08.png
 
Kama kuna mtu aliibiwa kwa hili tangazo, hafai kuajiriwa maana ni mzembe.
 
Wewe ndio mzembe. TRA hawana mtu anayeitwa MD......

Gmai.....
Mhuri wa kufoji.

We hufai. Umeingia cha kike.
 
Hawa jamaa walianza na matangazo ya jiji la Dar, Arusha, Mbeya na Mwanza kuna nafasi za ukusanyaji ushuru mshahara 300,000 wakawa wanatumia mfumo huo huo kila kitu, naona sasa wamehamia idara ya TRA 😂😂😂
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom