JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,202
- 5,012
HAYATI MACHALO MAJIGE FAUSTIN, (SAMSON MUKANDYA) ENZI ZA UHAI WAKE
Familia ya Marehemu, Bw & Bibi, Aloycius Chokara, wa Sinza Mori Dar-es-salaam inasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao mpendwa MACHALO MAJIGE FAUSTIN, AU (SAMSON MUKANDYA) kilichotokea tarehe 14, 01, 2010, katika hospitali ya Muhimbili Dar-es-salaam.
Msiba upo nyumbani kwao Sinza Mori, Mazishi yatafanyika Tarehe 16, 01, 2010, katika makaburi ya Sinza. Saa sita kamili kutakuwa na ibada katika Kanisa Katoliki la (Mt Maximilian Kolbe Mwenge).
Baada ya ibada, mwili wa marehemu utapelekwa nyumbani kwao Sinza mori. Saa nane kamili, ndugu jamaa na marafiki watatoa heshima za mwisho kwa marehemu, na baada ya heshima za mwisho, safari ya kuelekea makaburini itaanza.
Watu wote mnaomfahamu MACHALO, karibuni sana ili tumsindikize ndugu yetu na rafiki yetu, katika safari yake ya mwisho hapa duniani.
Kwa taarifa zaidi unaweza kupiga simu namba hizi:
0713652020- Joseph,
0713472930-Mang´enya,
0713131910-Samora.