Tangazo la kifo: Machalo Majige Faustine

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,202
5,012
Picture%2B318.jpg

HAYATI MACHALO MAJIGE FAUSTIN, (SAMSON MUKANDYA) ENZI ZA UHAI WAKE

Familia ya Marehemu, Bw & Bibi, Aloycius Chokara, wa Sinza Mori Dar-es-salaam inasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao mpendwa MACHALO MAJIGE FAUSTIN, AU (SAMSON MUKANDYA) kilichotokea tarehe 14, 01, 2010, katika hospitali ya Muhimbili Dar-es-salaam.

Msiba upo nyumbani kwao Sinza Mori, Mazishi yatafanyika Tarehe 16, 01, 2010, katika makaburi ya Sinza. Saa sita kamili kutakuwa na ibada katika Kanisa Katoliki la (Mt Maximilian Kolbe Mwenge).

Baada ya ibada, mwili wa marehemu utapelekwa nyumbani kwao Sinza mori. Saa nane kamili, ndugu jamaa na marafiki watatoa heshima za mwisho kwa marehemu, na baada ya heshima za mwisho, safari ya kuelekea makaburini itaanza.

Watu wote mnaomfahamu MACHALO, karibuni sana ili tumsindikize ndugu yetu na rafiki yetu, katika safari yake ya mwisho hapa duniani.

Kwa taarifa zaidi unaweza kupiga simu namba hizi:

0713652020- Joseph,

0713472930-Mang´enya,

0713131910-Samora.
 
RIP MACHALO!

Haijaelezwa hasa who this broda was,(kwa tusiomjua inakuwa ngumu kuhisi who he might have been), au labda alikuwa ni agent wa JF, I dont care much on that!

Lakini pia inakuwa je mtu anakuwa na majina mawili ka ma hivi:

-MACHALO MAJIGE FAUSTIN
-SAMSON MUKANDYA

ambayo ni tofauti kabisa, na ubini tofauti kabisa?...huh!
 
RIP MACHALO

PJ usishagae sana ndio dunia hii.
 
Marehem apumzike kwa AMANI.
Naomba kupewa jina lake la ubatizo ili sala na maombi yafanywe kwa jina lake halisi.Hili la kutafutia maisha duniani halina maana tena.
 
Sura yake ni familiar sana... na mimi pia nimekaa muda mrefu sana Sinza Mori... Sinza Mori ni too general naomba unieleze ni karibu na Bar gani au Shule au Kanisa gani ili niweze kushiriki... RIP MACHALO aka SAMSON...
 
We TB ni rahisi sana kukupata kumbe eeh!

Why MACHALO aka SAMSON and notSAMSON aka MACHALO! Any idea?
 
Sura yake ni familiar sana... na mimi pia nimekaa muda mrefu sana Sinza Mori... Sinza Mori ni too general naomba unieleze ni karibu na Bar gani au Shule au Kanisa gani ili niweze kushiriki... RIP MACHALO aka SAMSON...
Samahanini jamani
huyu Marehemu ni nani hasa kwenye jamii ya kwetu? Hii itatusaidia kuenzi na kuendeleza mchango wake kwa kzai aliyokuwa anaifanya wakati wa uhai wake. Sorry kama kuna atakayekwazika kwa swali hili natangauliza msamaha
 
RIP MACHALO!

Haijaelezwa hasa who this broda was,(kwa tusiomjua inakuwa ngumu kuhisi who he might have been), au labda alikuwa ni agent wa JF, I dont care much on that!

Lakini pia inakuwa je mtu anakuwa na majina mawili ka ma hivi:

-MACHALO MAJIGE FAUSTIN
-SAMSON MUKANDYA

ambayo ni tofauti kabisa, na ubini tofauti kabisa?...huh!

R.I.P Bro.

Wasifu wa marehemu sasa si muhimu sana kwa kuwa taarifa hii imeretwa kwenye thread ya Tangazo. Labda mtoa taarifa angesema "habari ziwafikie wan JF popote walipo....." mngemwelewa!..

Kuhusu majina mzee PJ, ukiwa kule musoma utachanganyikiwa zaidi manake mtu ana majina zaidi ya sita. Na kama alikuwa jeshi jina linaanza na cheo. Hata kama alikuwa "Private (asie na cheo) " au "Koplo" akastaafu bado atatambulia mtaani kwa cheo na jina (" Afande Koplo Alphonso Mukama Matiku Maira!) ukiwa Luteni Kanali unaweza kuwa hata na majina nane, Afande Luteni Kanali David Masero Ryoba Kichonge Mwita Mahende.

". Na hii inaleta heshima kule kwetu Kufanya kazi gheshini kuliko kufanya kazi "TRA" kwa cheo cha "Tax Officer" (utaulizwa hilo ndo " li gheshi gani ambalo halina chewo??").
 
Back
Top Bottom