Tangazo la kazi

Cotan

Member
Feb 11, 2010
72
11
TANGAZO LA KAZI
Tunahitaji vijana wawili tu wenye sifa zifuatazo;
  1. Awe muaminifu
  2. Awe mchapa kazi
  3. Awe na ujuzi wa fani ya usimamizi wa biashara au fani ya Uhasibu.
Tuwasiliane kwa njia zifuatazo;

AUGUSTER COMPANY (T) LTD
P.O.BOX 38588
TEL: 0762490080
E-mail:macheye@live.com
 
jifunza namna ya kuandika advt za kazi kwani hata house girl anaweza kusimamia matumizi ya hela ya chumvi na mboga soooo ni mhasibu wa nyumbani
 
jifunza namna ya kuandika advt za kazi kwani hata house girl anaweza kusimamia matumizi ya hela ya chumvi na mboga soooo ni mhasibu wa nyumbani

Mkuu, nakushukuru sana kwa angalizo lako, wakati mwingine nitajitaidi ndg yangu.
Kazi njema.
 
TANGAZO LA KAZI
Tunahitaji vijana wawili tu wenye sifa zifuatazo;
  1. Awe muaminifu
  2. Awe mchapa kazi
  3. Awe na ujuzi wa fani ya usimamizi wa biashara au fani ya Uhasibu.
Tuwasiliane kwa njia zifuatazo;

AUGUSTER COMPANY (T) LTD
P.O.BOX 38588
TEL: 0762490080
E-mail:macheye@live.com
Hiki kikampuni chako kiko wapi? Anuani haitaji chochote.
 
[size=4 said:
jambojema[/size];2543091]hiki kikampuni chako kiko wapi? Anuani haitaji chochote.

jambo jema. Mkuu asante kwa mtazamo wako wa kubeza, japo kuwa kweli kuna makosa ya kusahau anuani.
Mkuu. Tupo dar es salaam tanzania.

Nb ila kwa mwenye shida ya dhati ya kazi tajwa anakaribishwa kutuma maombi mpaka 26/09/2011.
ASANTE
 
Hivi ili tangazo limetoka kuzimu nini!!??? We uliyeliweka ni nani katika hiyo kampuni? Yani tangazo lipo lipo tuuu kama akili ya Nepi... Aaaghhh...!!!!
 
jambo jema. Mkuu asante kwa mtazamo wako wa kubeza, japo kuwa kweli kuna makosa ya kusahau anuani.
Mkuu. Tupo dar es salaam tanzania.

Nb ila kwa mwenye shida ya dhati ya kazi tajwa anakaribishwa kutuma maombi mpaka 26/09/2011.
ASANTE

Mkuu achana na hao wanaobeza tangazo, wameshiba hao! ila kwa sisi tunaoganga njaa mtaani tunakushukuru sana kwa kutuletea tangazo.
Usikatishwe tamaa na watu kama hawa! Endelea kutusaidia sisi wenye uhitaji na Mungu atakuzidishia.
 
jambo jema. Mkuu asante kwa mtazamo wako wa kubeza, japo kuwa kweli kuna makosa ya kusahau anuani.
Mkuu. Tupo dar es salaam tanzania.

Nb ila kwa mwenye shida ya dhati ya kazi tajwa anakaribishwa kutuma maombi mpaka 26/09/2011.
ASANTE

Kubeza hakukusaidii kitu...kama hauna sifa acha waombaji wenye sifa waombe...Hili ndio tatizo la WATANZANIA tulio wengi,tunajikita katika usahihi wa tangazo na si CONTENT ya Tangazo....BADILIKA NA CHUKUA HATUA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom