Tangazo la kazi, Jina la mwajili kapuni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la kazi, Jina la mwajili kapuni!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Shadow, Jul 14, 2009.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kuna tangazo limetolewa na gazeti la leo kuhusu kazi kwenye independent government agency lakini jina limefichwa na sketchy details zimetolewa kuhusu hilo tangazo. Swali langu nini nia na madhumuni ya kuficha jina la huyo potential employer? je, dno style za kibongo bongo? naomba kueleweshwa.[Source: The Guardian dated 07/14/09]
   
 2. 1

  1975 Senior Member

  #2
  Jul 16, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mzee sikuhizi kuna human resource agents anbao hufanyakazi ya kutafuta watu wanaofaa kwa kazi na wao kulipwa na kampuni husika,hivyo akikupa jina la kampuni siunaweza ukaaply mwenyewe.makampuni hayo ni kama rader recruitments,rupia,prospect africa na mengi mengineyo.
   
 3. m

  mwakibete JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,560
  Likes Received: 964
  Trophy Points: 280
  siyokiivyo man
   
 4. Miwani

  Miwani Senior Member

  #4
  Aug 24, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 182
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama wanatumia employment agents sio sababu ya kutoweka la employer kwani unaweza juweka jina na employment process bado ikafanywa na employment agent
   
 5. M

  Metallic Member

  #5
  Aug 25, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 55
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  hi all,
  is there anyone who can help with the format of salary increment. am a recent employee and i never come across with it before.
  Msaada kwenye tuta
   
 6. Mr. Miela

  Mr. Miela JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2009
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuwa wazi zaidi umeajiriwa wapi na kwa nafasi gani
   
 7. A

  AmaniGK JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,101
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kila kampuni huwa na utaratibu wake kwenye masuala ya increment.Hakuna format moja ambayo unaweza kuiita msahafu.Kama kampuni uliopo ina utaratibu mzuri waweza kumuona meneja wako ama kuwasiliana moja kwa moja na kitengo cha rasilimali watu kwa msaada zaidi.
   
 8. C

  CHAUMBEYA Member

  #8
  Aug 25, 2009
  Joined: Nov 15, 2007
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umuhimu wa kuficha jina la agency ni ili kuondoa tabia ya watanzania ya kutumia magodfather. hivyo mtu unaaply on merit na siyo kwa mtazamo wa kindugu

   
 9. Shukuru

  Shukuru JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2009
  Joined: Sep 3, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Pia inawezekena ni employer waka anamtega.... kuwa makini hususani zile za job ID kwa hapa bongo sijui huko nje inakuwaje..
   
 10. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Labda ni kazi za usalama wa taifa!!
   
Loading...