Tangazo la ajira bomba la mafuta Tanzania - Uganda

Mwenye email za taesa tafadhali naomba mnisaidie ili nitume ,mie sipo kwenye hiyo mikoa waliyoitaja hapo
 
Ingia kwenye website yao utapata majibu yote au unaweza kuwapigia simu....Ila kwa ule umati pale ni dhairi kuna tatizo la ajira kubwa kuliko tunavyofikiria...
 
Ina maana wanakupangia wenyewe hizo kazi au vipi maana kwenye ile form yao sijaona sehemu ya kujaza kazi au chaguo lako unajaza wapi.
 
Samahani anae fahamu office za TAESA katika mkoa wa mwanza ziliko anisaidie
Zipo maeneo ya picha ya samaki wanapopiga watu picha. Pia ukifika jengo la ppf plaza mwanza barabara inayoshuka chini upande wa kulia,. kama bado hujaelewa nipigie simu nikuelezee fureshi mpambanaji 0652603278
 
Hili bomba hivi bado lipo au nalo limeshaelekea kibra kama sera ya viwanda?
 
Walisema mradi huu utakamilika 2020. Vp mbona hatuoni hata dalili za kuchimba mtaro? Au mabeberu wameshabadilisha gia juu kwa juu kama kawaida yao?
 
Back
Top Bottom