Tangazo la Airtel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la Airtel

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtanzania haswa, Jul 1, 2011.

 1. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  haha nimelipenda tangazo la airtel pale moroco ukiwa unatoka town limeandikwa "all essential areas covered" ubunifu mzuri
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Tunaomba picha ya hilo Bango tafadhali ...
   
 3. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,204
  Trophy Points: 280
  Marketing Manager mbunifu, yaani wewe mpaka huku JF una-perform kwa kwenda mbele.
   
 4. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Tafsiri plizi Mkuu!
   
 5. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mi sioni la kushangaza hapo ila kwa tafsri yangu '"all essential areas covered" inamaanisha maeneo yote muhimu yamefikiwa.
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hehhe Tigo mmebadilisha maana mnaanza na hii pia :evil:
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  2nashukuru kwa tafsiri mkuu,sisi wengne wavuvi ha2jui lugha za kitaalamu.
   
 8. Nditu

  Nditu Member

  #8
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Airtel wamecover maeneo mengi, na kimsingi wangeweza kuwavuta wateja wengi sana kama wanavyonadi lakini kuna bottlenecks wasipozifanyia kazi juhudi zao zote zitakuwa kazi bure. Mimi ni mtumiaji mzuri tu wa mtandao huo na nimeshawashawishi wengi tu kujiunga nami lakini wengi wamenilalamikia kwamba mtandao huu ni wa wenye uwezo mkubwa kifedha! Kwa kweli sikuwa nimeliona hilo kabla lakini niliwaelewa waliponiambia kwamba mitandao mingine yote mnaweza gawana salio hata ukiwa na salio la sh100 ukamtumia mwenzako ili angalau atume msg, lakini Airtel ina masharti magumu kabisa ya uhamishaji: Kwanza mhamishaji sherti abakize salio lisilopungua sh 500; na huwezi hamisha chini ya sh200! Airtellazima ifanye jitihada za kuondoa kero ndogondogo kama hizi ili kuwavta wateja.
  Pamoja na mapungufu kadhaa Airtel wana offers nzuri mara nyingine kuwazidi hata wenzao, kwa mfano mtindo wao wa siku hizi wa kuonyesha mtu ametumia gharama kiasi gani kwa conversation moja umewafurahisha wengi ingawa inapotokea mteja kuwa na shida huwachukua maopereta muda mrefu mno kujibu labda kuliko mtandao wowote.


   
 9. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Tigo wamebadilisha?
   
 10. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Senkyu Saa!
   
 11. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mkuu paul kijoka....ukitizama picha kwenye billboard ndo utaelewa nacho maanisha. i wish ningekua na simu ya camera ningelipiga picha. ila unaweza pita ukaliona pale morocco.
   
 12. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  mi nadhani tafsiri yake ni yote muhimu maeneo yamefunikwa
   
 13. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  wamepunguza basi, kwani mwanzoni walikuwa wanasema mtandao ulioenea nchi nzima,hata kwa tv sikilini ilikuwa
  inakuwa nyekundu yote kwa ramani ya tz
   
 14. B

  Bakeza JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Kijoka nitumie email plz
   
 15. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  umenifurahisha sana...thanx!
   
 16. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  pamoja na hayo yote bado unaonekana na kasoro kadhaa kuna jamaa alikuwa analalamiksa ana tsh 148 lakini akaambiwa salio lake halitoshi. lile tangazo la basi kubwa na kigari kidogo cha tigo ni dharau na udhalilishaji.
   
 17. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kama kijini kwenu hakuna airtel basi jua hilo sio eneo muhimu....maeneo muhm yote yamefikiwa.
   
 18. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  I can imagin a nudity content...
   
 19. Bu'yaka

  Bu'yaka JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 426
  Trophy Points: 80
  Huo sio ubunifu, ni dharau kwa maeneo ambayo mtandao haujafika kwa maana kama walivyosema wenyewe sio "maeneo muhimu." Marketing officer makini hawezi ku label maeneo na kuyaita muhimu na sio muhimu.
   
 20. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Muhimu!
  Eg. Samunge etc.
   
Loading...