Tangazo la Airtel na Mapenzi kwa watoto wetu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tangazo la Airtel na Mapenzi kwa watoto wetu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Calnde, Apr 25, 2012.

 1. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mimi kuna matangazo nayapenda sana. Lipo la hili mtoto anaendesha ringi lake, linakanyangwa

  na gari, kisha anajaribu kulinyoosha kwa kajiwe, mama anamwona, anamnunulia baiskeli! Mimi

  linanigusa, linaonesha upendo mkubwa kwa watoto wetu! Unampenda mtoto mpaka anafurahi

  mwenyewe!

  Jamani tuwapende watoto wetu. Ni neema toka kwa Mungu!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Na Sukari Je?
   
 3. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dogo huyoooooooo anachapa lapa na baiskeli yake. . .Dah so nice yaani
   
 4. n

  ngarambe Senior Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo ni siku gani mwanangu!!!
   
 5. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Unajua sisi wengine tumekuwa birthday tumezikuta mjini tena baada ya kuanza kudate ndo bibie

  anakomalia! Lakini kama tulikosa mapenzi sie ndio tupeleke kwa watoto wetu! Do what will

  make them right! they will love you back. Utawajengea msingi hata kwenye ndoa zao many years

  later
   
 6. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Waaooooo
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hujapenda tangazo la sharo na balo?
  Tigo wanaonesha jamaa anapigwa mpira ikulu na kufundisha wanawake kuwa na wanaume wawili
  OTIS
   
 8. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Aah.. Lile la jamaa aliyekosa date na demu kizembe?

  Eti kisa kakimbia sana na kuchoka,hadi kushindwa kuongea.. Na yule bidada alikuwa yupo ready kusema naye ili mradi asione soo!
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  TCRA,Tume ya maadili wanakenua meno tu!!
   
Loading...