Tangazo: Kwa yeyote atakaye fanikisha kuipata laptop hii kuna zawadi taslimu ya tsh 5,000,000 Ahsanteni

1 Huna CCTV je kuna jirani ya ofisi mwenye nayo?
2 Mnayo sehemu ya mapokezi ofisini kwenu?
3 Watu waliotoka ofisini wakati upo kikaoni.
4 Unayo iCloud account kwenye hio laptop?
5 Laptop inayo password?
6 Kuna mlinzi ofisini kwenu?
7 Mlango ulivunjwa au nani anayo kopi ya ufunguo?
8 Umewasiliana na agents wa Apple's wamesemaje?
9 Baada ya laptop nini kingine kilicho ibiwa?
10 Ofisi yako jengo la gorofa au chini?
11 Ulipo rudi baada ya kikao mlango ulikuwa wazi au ulifungwa?
 
Kuna jamaa angu alilizwa pale mataa bag ilikuwa na mnyama kama huyo, asee ikusanya wahuni akawalipa ila aliambulia manyoya!

Wezi washenzi sana! Nasema hivi petrol ni halali yao hata wakiiba kijiko! Wanakera sana!

Pole sana kaka. Ukiipata tupe mrejesho as juna wengind tumeumia as if tulikuchangia hata mia!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina wasiwasi sana na hili tangazo,nanusa harufu ya utapeli kama sio ndoano kwa Wadada wa hapa Jukwaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakuheshimu sana...
Screenshot_20190331-191939_1_1_1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkui. Wahuni ubungo washawahi kumpiga jamaa angu PC mbili kwenye begi,, wakamwachia begi tupu. Kujiuliza walichomoaje zote mbili bila jamaa kuskia. Wale jamaa mda mwingine wanatmia ndumba
 
1 Huna CCTV je kuna jirani ya ofisi mwenye nayo?
2 Mnayo sehemu ya mapokezi ofisini kwenu?
3 Watu waliotoka ofisini wakati upo kikaoni.
4 Unayo iCloud account kwenye hio laptop?
5 Laptop inayo password?
6 Kuna mlinzi ofisini kwenu?
7 Mlango ulivunjwa au nani anayo kopi ya ufunguo?
8 Umewasiliana na agents wa Apple's wamesemaje?
9 Baada ya laptop nini kingine kilicho ibiwa?
10 Ofisi yako jengo la gorofa au chini?
11 Ulipo rudi baada ya kikao mlango ulikuwa wazi au ulifungwa?
Punguza ujuaji Mkuuu, mwenzio ashaibiwa hayo yoooote ili iweje?? Toa code za Laptop kupatikana mengine mwachie yeye. Siku nyingine fika Msibani anza kutukana uzembe wa marehemu moto wake utauona.
 
Watu wanapitia kalamu itakuwa vitu vyenye thamani?
ICloud kama ungekuwanayo labda ungekuwa umepata mda sasa
Wakati mwingine jitahidi kuiwekea security ya maana ili ufuatilie mpaka kwa mwizi
Pole sana natumaini utaipata maana naona kuna watu wanaweza kukusaidia humu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom