Tangazo: Kwa yeyote atakaye fanikisha kuipata laptop hii kuna zawadi taslimu ya tsh 5,000,000 Ahsanteni

Ma IT wa bongo mpo wapi ,au kazi zenu kuflash tecno tu

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Nimeibiwa Laptop MacBook Pro 15" mnamo tarehe 27 Machi 2019 muda wa kazi. Ofisi ilikuwa imefungwa kwa ufunguo mimi nikiwa kikaoni jengo jingine hapo hapo kazini. Serial number ni C02RT4WAG8WP.

Zawadi ya Shillingi 5,000,000 (million tano) itatolewa kwa atakayewezesha kupatikana kwake. Walau nizipate picha za msiba wa Bibi yangu tu.

Ninatanguliza shukrani.



View attachment 1059052View attachment 1059053

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana najua maumivu yake.
 
Au awe na ku surveillance camera chake kidogo hakionekani, maana kwenye ofisi nyingi hawaweki kamera ili kuwafanya wafanyakazi wawe huru na kazi ziende


Wizi ndio unatokea kutokana na huo uhuru unaoita.. Siku hizi ni camera tu, hakuna jinsi..
 
Mimi nashauri mafundi wote na wezi watakaoikuta hiyo Laptop Laptop MacBook Pro 15 mtumieni kwanza hizo picha za Msiba wa Bibi yake hata kwa PM
kitakachofuata muwasiliane hata mkipata laki 5 si haba kuliko kuliharibu limashine la watu lina serial No anaweza kuwatafuta mpaka wananuzi watakaotumia
 
Pole muheshimiwa, kama ni picha jaribu kuingia iclod kama uliset mac yako kwenye auto upload to iCloud.
 
Mkuu ungeenda kkoo kwa mafundi pale uwaambie ukweli,kwamba wewe ni mhanga.ukitaka uipate haraka usiseme una nia ya kumshika mwizi.
 
Naomba namba yako niwapatie cyber society Tanzania utaipata ndani ya siku moja tu nakuambia nawakubali sana

sent using bombadia
 
Unaifadhije vitu vya muhimu kwenye laptop unakuwa kama ujaenda shule vitu vya msingi hifadhi kwny Email nunua space kwny email mpaka 500gb kwa bei chee tena uhifadhi vitu vyako vya msingi usitegemee pc tupu au google drive nao pia wako vzr technologia ni kubwa sana now day njia nzuri na safe ziko kibao usinge angaika hivyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom