Tangazo kutoka kambi ya Jeshi Lugalo, Mbuzi ameokotwa akila miti

umeshaambiwa mbuzi amekamatwa akila miti, hapo haendi mtu huyo mbuzi bora wamnywe supu tuu
 
Brigedia anatafuta sababu ya kumchinja huyo mbuzi tu kama ana lengo na nia nzuri kwanin asimkabidhi huyo kiongoz wa kawe huyo mbuzi ili akamtafute mwenye mali?? Naona kuna dalili ya mabavu kutumika hapo kwa kisingizio cha kuingia kambini.
 
Wakazi wa kawe hatuja zoea huo utamaduni wa kutangaziwa upotevu wa maliza wanainchi.
Kwanza kutoka kilipo hicho cho cha kijeshi ni hatua chache kufika zilipo shuleza msingi za kawe A na tumaini.kama jeshi halina nia ovu wamlete tu hapa shuleni au wampeleke pale serikali ya mtaa ya kawe mzimuni ambapo na si mbali na hiko chuo cha jeshi.
 
Back
Top Bottom