Tangazo: Kongamano la katiba mpya Ubungo Plaza, Jumamosi tarehe 31 May 2014

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
886
206
Wanajamvi,

Mnapenda kutaarifiwa kuwa asasi(azaki) za kirai zinawapa taarifa watanzania wote kuwa siku ya Jumamosi kutakuwa na kongamano huru la katiba.

Mabingwa wa sheria Tanzania unao wajua watakuwepo siku hiyo kufafanua mchako mzima wa katiba.

Muda kuanzia 8 mchana, karibu wote.
 
Kongamano la nini wakati huu? Mbona watanzania hawana akili kissing hiki ? Hawa nao wamehongwa kama wasomi wa malyamkono. Hii ni cheap talk shop haimsogezi Tanzania toka hapa alipo saa si na wataalamu wa kaiba wanahusikaje na mahali mchakato ulipo? Kwa nini watanzania wako destructive? Kwa tunaofuatilia mambo yule mama mwenye akili wa tanzania tunayoiyaka ametufikisha pazuri wote tumeweza kufuatilia mchakato na kujua tatizo ni nini na. Tutatokaje hapa tulipo. Hivi kuna mtaalamu na asasi zinazoweza kutuelimisha kama ule mdahalo wa polepole, Yule mzanzibari, ukawa na Ccm? Hao wasomi wenu walikimbia ku sabbotage huko hatuji kwenye mediocracy, hopeless kabisa mnanunuliwa hata kwenye mambo muhimu
 
Hao mbingwa wa sheria ni akina nani, twambie, maana Tanzania ina mbingwa wengi wa sheria.
 
Mie nadhani watz tushaongea sana na tushaijua katiba tuitakayo iweje,kilichobaki ni ama watawala wakubali ama wakatae tujue moja

Tusipoteze mda sana maana matendo hukidhi maridhawa kuliko maneno
 
Back
Top Bottom