Tangazo hili la ukimwi ni lakishenzi

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Tangazo hili liko maeneo ya sinza kama unakwenda mwenge karibu na chuo cha ustawi.
Eti dada anamwambia mbaba ambae ni kijana kuwa mimi ni sawa na mwanao wakati dada huyo amemuonesha jamaa natiti yake yote nje huku hivi toto kama hili ni sawa kutongozwa na yoyote coz hajiheshm anatangaza biashara.
Kiukweli linaniboa sana sijui waloliweka wanauwezo gani wa kufikiri bora hata wangeweka lile la fataki.wahusika acheni utapeli na kupotosha
 
matangazo mengine yanakosa watu wa kuyaratibu. Umesema jambo la msingi sana. Matangazo yanahitaji utaalamu wa kuyatengeneza to be able to convey the intended message without ambiguity
 
Wewe acha uzushi wewe, mbona hujasema hilo tangazo liko wapi au linarushwa na kituo gani?
 
Acha kukurupuka sijui ulikuwa umelala na kukuuliza maswal yaso kichwa wala miguu soma maelezo kwanza,yaani tangazo linajaboa waloandk hawakuwaza kama wewe unavyochangia bila kusoma wala kuwaza.
 
halafu demu mwenyewe mzee na ana muonekano wa kimalaya!nilishawahi kujiuliza kuhusu lile tangazo
 
Tehe.....
Umenikumbusha hilo tangazo aisee..!
Ila hatujawahi kuwa na usiriaz katika hii kampeni yetu dhidi ya "NGOMA"
Si unakumbuka tangazo la ISHI na kisa cha Mama Terry wa Radio One??
 
Tangazo hili liko maeneo ya sinza kama unakwenda mwenge karibu na chuo cha ustawi.
Eti dada anamwambia mbaba ambae ni kijana kuwa mimi ni sawa na mwanao wakati dada huyo amemuonesha jamaa natiti yake yote nje huku hivi toto kama hili ni sawa kutongozwa na yoyote coz hajiheshm anatangaza biashara.
Kiukweli linaniboa sana sijui waloliweka wanauwezo gani wa kufikiri bora hata wangeweka lile la fataki.wahusika acheni utapeli na kupotosha
Matangazo ya kishenzi sana yale, ni kama wanasema usingekuwa Ukimwi basi ni poa kumbandua mtoto kama yule, you see the underlying stupidity of those ads? Hivi wabongo tuna nini vichwani?
 
Hilo Tangazo nalijua, hata mimi linaniboa sana kwa sababu halina ubunifu. Ni la kijinga sana
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom