Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,645
Za asubuhi JF members
Ki ukweli mi sijapenda watu wamesubiri karibu mwaka mmoja na miezi 7 wakiamini wataajiriwa leo hii wanakuja kusema tunataka watu wa sayansi na hisabati hao wa arts waende wapi?
Kingine tangazo limetolewa mtandaoni pasipo kutolewa taarifa ya kueleweka kwenye vyombo vya habari zaidi ya kutoa tangazo na bado wanataka watu watume ndani ya siku tatu (tarehe 13 december hadi 16 december)
Maswali ya kujiuliza
1. Ambao hawajachukua cheti kwa kutolipia ada (vyuo binafsi) wapate wapi hela ya haraka ili wapewe vyeti wavitume?
2. Walio vijijini ambapo hamna internet mpaka waende mjini na nauli hawana ina maana wanakosa nafasi ?