Tangazo hili la ASAS linachochea kufanya kazi bila kufuata kanuni bora za afya, lizuiliwe

Filipo Lubua

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
339
578
Hili tangazo ni hatari sana. Linashawishi watu kufanya kazi pasi na kuchukua tahadhari stahiki za kiafya, eti kwa sababu ya brand yako ya maziwa.

Unaruhusuje tangazo kama hili liende hewani? Tangazo ambalo linawashawishi watu kufanya kazi bila kufuata kanuni bora za afya eti tu kwa sababu watakunywa maziwa ya ASAS?

Hatuzuii maudhui kama hizi zenye kuleta matatizo ya afya kwa umma maana tuko bize kuzuia maudhui zikosoazo serikali. 😔

 
Wachumia juani wengi ndio hufanya shughuli zao bila vifaa Kinga lakini ndio wanunuaji wakubwa wa bidhaa mbalimbali kama hizo, kwa malalamiko yako ni vizuri ukawaandikia OSHA waweke tangazo lakutaka wafanyakazi kuzingatia usalama katika majukumu yao hata hivo ASAS hajahamasisha kufanya kazi bila kuzingatia usalama.

Lakini vile vile amekutaka unywe maziwa yake ili kukuongezea kinga kutokana na vumbi katika majukumu yako.
 
Hili tangazo ni hatari sana. Linashawishi watu kufanya kazi pasi na kuchukua tahadhari stahiki za kiafya, eti kwa sababu ya brand yako ya maziwa. Unaruhusuje tangazo kama hili liende hewani? Tangazo ambalo linawashawishi watu kufanya kazi bila kufuata kanuni bora za afya eti tu kwa sababu watakunwa maziwa ya ASAS? Hatuzuii maudhui kama hizi zenye kuleta matatizo ya afya kwa umma maana tuko bize kuzuia maudhui zikosoazo serikali. 😔
Tangazo la hovyo sana
 
Mimi nimependa pale jiwe linapopondwa na kuwa kokoto
Nadhani Huu ni ujumbe
 
Hakuna tatizo hapo, kwanza angevaa hayo madubwana unayotka wewe avae sijui, mask, barakoa ya vumbi, groves na boot naona ndiyo angeharibu kabisa hata hao wenye eneo walipoenda kufanyia tangazo wasingemruhusu, maana wangehisi anawakoga wakati maisha ya kazi zao si katika uhalisia huo.
 
Hili tangazo ni hatari sana. Linashawishi watu kufanya kazi pasi na kuchukua tahadhari stahiki za kiafya, eti kwa sababu ya brand yako ya maziwa.

Unaruhusuje tangazo kama hili liende hewani? Tangazo ambalo linawashawishi watu kufanya kazi bila kufuata kanuni bora za afya eti tu kwa sababu watakunwa maziwa ya ASAS?

Hatuzuii maudhui kama hizi zenye kuleta matatizo ya afya kwa umma maana tuko bize kuzuia maudhui zikosoazo serikali. 😔

View attachment 1576237
Wivu wa kiwango cha lami
 
Huo ndio uhalisia wa Mazingira ya kazi mengi yalivyo..Badala ya kulizuia tangazo, OSHA wanatakiwa wakafanye ukaguzi katika maeneo mengi ya kazi wajionee uhalisia na watoe elimu kuhusiana na suala la Afya na Usalama mahala pa kazi.
 
Back
Top Bottom