TANGAZO: Car-Mobile speech system(Revised) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANGAZO: Car-Mobile speech system(Revised)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mkimbizi, Sep 5, 2008.

 1. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2008
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vifaa mahsusi kwa ajili ya kutumia simu(voice) kwenye gari vinawasili nchini karibuni.

  Vifaa hivyo ni pamoja na vifuatavyo(nimeweka na technical function)

  1. back mirror system (3 - 5 Units)

  Strong Functionality, convenient and ideal for short or long haul driving:

  2. dialog_plus_voice_control (1 Unit)

  Manufacture: Buy, Model CV 9040
  Ready for conversation everywhere!
  Mobile Bluetooth hands-free car kit with DialogPlus voice and touchscreen

  3. car visor system 1 (1 Unit)

  Manufacture: Anycom
  model: HCC-250 Bluetooth Car-Kit
  (Mobile news, 05/07: Winner)

  4. car visor system 2 (1 Unit)

  Manufacture: Jabra
  Model: SP 700


  Vifaa ni vichache na bei inalingana na kifaa utakachochagua.

  Wasiliana nami kwa simu 0713341040 au email spoi2002@yahoo.com
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ...Mkimbizi tangazo lefu kweli hilo ndugu, miye naona linafaa kabisa kulipiwa hapa JF! Kwani nami nauza vifaa hivyo hivyo na nikianza kuweka matangazo yangu yenye kina kama hicho hapa hapatakalika.
   
 3. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2008
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimepunguza. Naona technical functions zinakula nafasi kubwa. Hapo je?
   
Loading...