Tangazo: Aliyeokota Kitambulisho changu cha Taifa

Losekulorewuingishu

New Member
Apr 18, 2020
3
45
Habarini za jioni wapendwa.
Naitwa Israel Lazaro Laizer. Wapendwa nimepoteza Kitambulisho changu cha Taifa jana 22/4/2020

Ninaomba kwa aliye ona naomba anirudishie au awasiliane moja kwa moja na mimi. Kupitia namba izi 06228232364 au 0759308592 au 0682960045 nilipoteza hapa gongo la mboto naombeni share tangazo hili liwafikie wengi zaidi atakae iona atapata zawaidi Mungu awabariki tuendeleee kijikinga na janga la Corona
IMG_20200423_231108_141.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

PSG Pambanaji

JF-Expert Member
Jan 4, 2020
224
250
Pole sana fuata hatua za kisheria zaidi na pia humu JF ukimaliza hiyo kz Badili Id make labda unataka ujulikane c wajua humu n maficho!!
 

Mc cane

JF-Expert Member
May 18, 2018
4,500
2,000
Pole mkuu

Naona umefungua ID mpya ili usiharibu cover yako

Nitawasaidia kwa ushauri wale ambao bado hawajapoteza

Nenda stationary kubwa yoyote, tengeneza replica na hiyo ndio uwe unatembea nayoSent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom