Tangaza na JF, Mahali Jamii inapokutana

Status
Not open for further replies.

JF Marketer

Member
Jan 3, 2009
80
34
Hodi hodi jukwaani kwa Waungwana wana JF,

Nitumaini kwa ukarimu wenu nyote mmesema karibu mgeni.

Nami naingia na kuanza kutoa shukrani za dhati kwa Uongozi wa Jamii Media Inc kwanza kuniruhusu kuwa mwanachama na pili kutumia abbreviation "JF" kwenye jina langu na tatu kunipa kibali cha kupokea na kuweka matangazo ya kibiashara hapa jukwaaani.

Wito kwa wanachama na wasio wanachama:

Tumeanza kupokea matangazo ya kibiashara. Lengo ni kulifanya jukwaa letu liwe na vyanzo vya mapato vitakavyoliwezesha kujiendesha kwa ustahimilivu kinyume na sasa ambapo linategema pesa toka mfukoni mwa watu wachache.

Hakuna ubishi tena juu ya uwezo wa tofuti, majukwaa na blogs katika kuwasilisha ujumbe kwa jamii. Mtakumbuka katika mwaka 2008 zaidi ya asilimia 70 ya habari motomoto zilizotikisa nchi yetu zilianzia hapa.

Na kwa upanda wa matangazo ya kibiashara japo haikuwa lengo kwa mwaka 2008, waliotangaza nasi wameona mafanikio. Traffic imeongezeka mara dufu katika site zao.
 
Dear JAY2da4,

Asante sana kwa kuonyesha nia ya kutangaza kupitia jamvi la Jamii. Nakuhakikishia hutojutia uamuzi wako.

Kuna mambo tunahitaji kuyajua kabla ya kukupa bei. Miongoni mwa mambo hayo ni ni ukubwa (size) wa tangazo, Nani ata originate (asisi) tangazo, mahali (chumba) gani ndani ya JF kinakufaa kuweka tangazo lako.

Kwa sababu lengo ni kuitangaza shughuli/biashara yako kwa ufanisi. Hatungependa kuweka Kiwango (pesa) Mbele, Ufanisi Nyuma.
Kawaida tunapenda tushauriane na mteja, tufanye kazi, aone mabadiliko na ufanisi kisha aridhike.

Tuko tayari kutuma timu ya wataalamu wetu wazungumze nawe. Tafadhari nitumie Anwani yako na jinsi ya kukutana nawe kibiashara. Unaweza kutuma kwa:

Code:
ads@jamiiforums.com
 
I have to make things clear:

We've these advertising campaigns at JF:

Premium Campaign (Home Page Header, Forum Pages Header, Thread Page Header, Before Last Post footer) 728 X 90 Pixel
**PRICE TO BE REQUESTED** Per Month (When this package is selected all other campaigns are stopped and you become the only advertiser in the whole forums)

Full Campaign (Home page header, Forum Pages Header, Thread Page header) Size: 728 X 90 Pixel =
**PRICE TO BE REQUESTED** Per Month [Other adverts will be displaying]

Half Campaign (Home page footer, Forum Pages Footer, Thread Pages After First Post) 728 X 90 Pixel =
**PRICE TO BE REQUESTED** Per Month [Other adverts will be displaying]

Quarter Campaign (Home Page Only) 468 X 60 or 728 X 90 Pixel =
**PRICE TO BE REQUESTED** Per Month [Other adverts will be displaying]

We offer you 1 week(s) in excess for each month.

Anyone interested with the prices has to contact:
Code:
ads@jamiiforums.com
 
Mie nataka kuweka Matanzangazo ya kupigia kampeni Chama cha Mapinzuzi kwa Mwaka 2010.

Je mko tayari kupokea pesa Yangu kwa jili ya kazi hiyo?

Na hata kama mko tayari nitalipia
Premium Campaign kwa ajili ya uchaguzi wa Mbeya Vijijini?


Inawezekana?

 
Mie nataka kuweka Matanzangazo ya kupigia kampeni Chama cha Mapinzuzi kwa Mwaka 2010.

Je mko tayari kupokea pesa Yangu kwa jili ya kazi hiyo?

Na hata kama mko tayari nitalipia
Premium Campaign kwa ajili ya uchaguzi wa Mbeya Vijijini?


Inawezekana?


Uzuri tumeandika WAZI hapa juu ya uwezekano huo; INAWEZEKANA mkuu.

:)
 
Wakuu mbona kimyaa hakuna wafanyabiashara wanao tembelea JF?
Fidel80-mimi nadhani ingekuwa vizuri sana kama mngetengeneza profile hata kama ni ya 1/4 a page,nimefurahi kusikia hivyo.Naomba habari hizi njema muwatumie CCM,CUF,CHADEMA,nina imani hata makampuni YOTE ya simu yanahitaji huduma hii.
Na kama shida ni contacts niko tayari kuzitafuta.
Na la mwisho wana JF tushindwe kuchangia lakini tusishindwe kuwaeleza viongozi wa JF nani anaweza kutangaza wakamtumia hiyo profile,
Nawakilisha.
Katabazi
 
Me nashauri:

Ili kuvutia zaidi petential advertisers kwenye hii tovuti, mngeweka site statistics ambazo zinaweza kupatikana kirahisi kupitia services kama Google Analytics, StatCounter etc

Web analytics services zinatoa statistics juu ya watembeleaji wa tovuti, nchi wanazotoka, mikoa (though not very reliable), pages gani wanapenda kuangalia, na ni mda gani wanatumia kwenye page moja.

Hii inamsaidia mtangazaji kufanya maamuzi, mfano ni bidhaa gani ambazo zinaweza kufanya vizuri zikitangazwa, na pia inamuwezesha kujua thamani ya huduma atakayopata kutokana na kutangaza kwenye tovuti yako.

Kama kwa mfano JF 80% ya traffic itakuwa inatoka nje ya Tanzania, basi haitafaa kutangaza biashara za hapa ndani.

Bila kuwa na traffic analytics reports, ni vigumu mtu kuamua kutangaza kwenye site yako.
 
Pia, nadhani JF moderators wangeanzisha policy ya ku ban threads ambazo zinalenga kutangaza biashara zaidi, na sio kuelimisha au ku communicate information yoyote ile.

Kuhusu ni threads gani zitaangukia kwenye kundi la kutangaza kibiashara na zipi hazitakuwa kwenye hilo kundi hilo ni suala linalohitaji kuangaliwa kwa upeo mkubwa kidogo.

Lakini sioni kwa nini mtu alipie kutangaza, na wakati akiandika thread kila mtu anaiona na inafikisha ujumbe kama kawaida!

Humu JF kuna threads nyingi sana ambazo ni 100% matangazo. Kwa nini hawa watu wasibanwe wachangie? Threads za namna hii ndio zinatufanya hata wengine kufikiri kutumia threads kutangaza biashara zetu na sio kulipia.
 
Mie nataka kuweka Matanzangazo ya kupigia kampeni Chama cha Mapinzuzi kwa Mwaka 2010.

Je mko tayari kupokea pesa Yangu kwa jili ya kazi hiyo?

Na hata kama mko tayari nitalipia
Premium Campaign kwa ajili ya uchaguzi wa Mbeya Vijijini?


Inawezekana?

naona gembe kamati ya kinana haikumuona!! LOL
 
Mitsubishi Canter inauzwa 15m, 2 ton. Km 110,000. Haijafanya kazi hapa nchini na ni dumper. Ni kunirudishia hela yangu tu niliyoagizia. Sina Dereva, na kazi yangu hainiruhusu kumsimamia. Contact 0713 44 11 97. Bei ni fixed!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom