Tanganyika wasafiri kivyao na Zanzibar kivyao, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanganyika wasafiri kivyao na Zanzibar kivyao,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Feb 25, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya tuma wajumbe wake nje .
   

  Attached Files:

 2. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kwenye hii katiba mpya swala la muungano linaingiaje, mi ningependa moja ya vitu viwili:

  1. either kuwe na serikali tatu: tanganyika, zanzibar, na tanzania (ambazo zitatufanya tuwe maskini zaidi, maana idadi ya wala kodi zetu itaongezeka, but atleast it will make more sense kuliko ilivyo sasa)

  2. au serikali ya zanzibar ipotezewe na kuwe na tanzania tu, rais mmoja, bunge moja, na kila kitu kimoja.

  Mi nisingependa tutengane kabisa.....umoja ni nguvu.
   
Loading...