Tanganyika packers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanganyika packers

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Safari_ni_Safari, Feb 17, 2010.

 1. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Kuna mdau yoyote mwenye taarifa na eneo hili pale kawe(263 acres) na nini mustakabali wake?
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  Feb 17, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kwanza Tanganyika Peckers imebaki kuwa historia, Kiwanda kimeoza na kinaendelea kubomomoka.
  Nilisikia alitaka kuuziwa mmoja wa familia ya Dewji miaka kadhaa nyuma, kuna wadau wakadinda, mission ikafail.
   
 3. M

  Mchili JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Aliuziwa Adamjee, aliyekuwa mbunge wa kawe akaanza kudevelope kwa ajili ya shule ya mabohora kwa kuweka ukuta lakini kwa sasa naona project imesimama. Labda kibali cha kubadili matumizi ya ardhi kimegoma.

  Wafanyakazi waligoma kuhama kwenye nyumba zao na sasa zimetelekezwa ni magofu tu.
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Kwa nini serikali isipageuze for public usage wajenge Mahospitali,mahakama,ofisi za serikali,kariakoo nyingine ili kupunguza msongamano kule CBD? Eka 263 ni nyingi sana
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Feb 17, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  katika ulimwengu ambao serikali inajidai kuhubiri kilimo kwanza haikuingiiakilini kuona Kiwanda cha nyama kinageuzwa matumizi......haileti maana, mfugaji kama sehemu ya mkulima, anapaswa kuwa na pahala ambapo ngombe wake watauzwa kwa thamani inayokidhi.
  kweli kunakitu hakiendi sawa vichwani mwa watawala wetu....................Nani aliewaroga ?
   
 6. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  E bwana tena nilipita hapo juzi juzi, hilo eneo tamu kweli. Mafisadi watakuwa wameliacha salama mpaka sasa kweli! Yeah, ni vizuri matumizi yenye manufaa kwa jamii yote ndio yapewe kipaumbele.
   
 7. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Sehemu kubwa ya beach area sidhani kama bado ipo lazima itakuwa imefanyiwa hesabu za kifisadi na wajanja wajichukulia mapema. hawachelewi hao.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Kwa sasa sidhani kama ni feasible kuendelea na kiwanda cha nyama pale kwa kuwa sasa pamezungukwa na makazi ya watu na ng'ombe watapita wapi?Hata asili ya jina Kawe ni Cow Way vile ng'ombe walipitia toka pugu mapaka kiwandani.Tujenge kingine maybe Ruvu au Chalinze au hata Umasaini,Usukumani amabako ng'ombe wako ili iwe rahisi kwa miundombinu ya kuwaleta ng'ombe kiwandani.
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Feb 17, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hapana bado tunahitaji kile kiwanda kifanye kazi yake iliokusudiwa, na tunahitaji viwanda zaidi vya uzalishaji kuliko, maduka na masuper Market, hatuhitaji kuwa taifa la wachuuzi wa bidhaa za kichina, USA, SA ama popote duniani, hakuna taifa lililoendelea kwa uchuuzi.
  Tunahitaji viwanda vya kuzindika JUICE, nYAMA, mBOGA , na kila aina ya bidhaa za hapa nyumbani, hii itaufungua uchumi wetu toka katika Micro level hadi Macro level.......tuamke jamani.
   
 10. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #10
  Feb 17, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kama tunaadhimia kuua kiwanda kile kimatumizi lazima tujenge viwanda kama vile maeneo mengine.
  ila Kiwanda kinaweza kubaki pale, maana si lazima machinjio yawe pale, hii ni katika dhana ya kufungua viwanda na ajira kwa vijana wetu.
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana nawe na hiyo Plan A sasa kama ahiwezekani kuwa kiwanda pale serikali ina mpango gani wa kubadili amtumizi kama Plan B sasa?
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Yule Tana Somaiya wa radar alishachukua nyumba iliyokuwa ya CEO wa mwisho wa TPL,hata nyumba ya Dr Mwinyi nadhani amemega toka eneo la TPL
   
 13. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Mkuu,eneo la beach bado lipo wazi ila kuna Kibabu fulani kinaendesha Club ya Kawe (Maarufu kwa samaki "Tasi" wa kuchoma)Naona kako ngangari mno na sijui kama katakubali kuiachia club hiyo kwani hakaogopi mtu yeyote...
   
 14. bona

  bona JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  kilimo watanzania sio agriculture peke yake, hata ufugaji ni kilimo sasa kauli mbiu ya kilimo kwanza serikali ya jk inamaanisha agriculture peke yake? eka zote izo zinatosha kuendeleza kiwanda hata ktk makazi ya watu, kiwanda kifufuliwe na vingine zaidi vijengwe, ni kweli mdau nchi haiendelei kwa uchuuzi ni kwa uzqalishaji tu, africa labda ndio tunataka tufanye huo muuujiza wa kuendelea wakati nchi nzima ni wamachinga(informal sector) serikali inayohubiri watanzania tuwe huku formal sector wakipewa wazungu eti sisi hatuna akili na mtaji!
   
 15. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #15
  Feb 17, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kwanza NI AIBU KILE KIWANDA KUFIKIA KUWA MAGOFU YA KIWANGOM KILE............
  tunapoubiri kuwa kilimo ni uti wa mgongo wataifa, ni fadhaa kushindwa kutunza hata kakiwanda kale hadi hii leo......uti wa mgongo gani usio msaidia mtu kutumbea.
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Na ile ranchi yao ya Singida imeuzwa majuzi.Hapo ndio palikuwa buying point.
   
 17. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #17
  Feb 17, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  katika mazingira hayo unanambia kuna mtu yuko serious na KILIMO kweli, hawa wameoza na chama chao, ni gonjwa lisilo na tiba.................Labda mpaka wakulima wenyewe watakapo amua kuingia mitaani na kudai haki zao, lakini adui yao nikototambua kuwa wao ni mtaji kisiasa, na kwa unyonge wao watanyanyasika milele.
  lazima wafanye mapinduzi ya kifikra kwa kutambua uwezo na nguvu zao................wajifunze kupitia -luddism
   
 18. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Kujenga kingine sawa, swali ni matumizi mbadala wa sehemu hiyo nini kifanyike? Hesabu za kifisadi kugawa viwanja kwa wateule wachache ziendelee au ijengwe CBD kwa manufaa ya wengi ambayo itaondoa ulazima wa kila mtu kuja kwenye CBD ya samora avenue?

  Na central issue ni jee kama kuna plots zimechukuliwa ziendelee kuchukuliwa au zirudishwe serikalini ili kurejesha ukubwa halisi wa shamba hilo?
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  That is it...imagine toka uhuru tumejenga Kariakoo moja tu wakati Dar inahitaji almost ishirini za aina hiyo.Half the congestion ends up in KARIAKOO.

  Serikali ipapime upya,ifanye designing ya specific structures zianzohitajika na jamii na kuuza by-plots at market values...proceeds ziende kujenga kiwanda pale Ruvu
   
 20. K

  Kekuye Senior Member

  #20
  Feb 17, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui kwa nini tuna tabia ya kubadili matumizi ya maeneo yaliyokusudiwa kwa sababu zisizokuwa za msinggi badala ya kuongeza sehemu nyingine. Mfano TPL ingebaki na kuendelea hata kusindika membe, nyanya, machungwa na mananasi yanayooza wakati wa msimu halafu ukeshapita tunanunua mananasi na maembe bandia kwenye makopo kutoka uchina na kwinginepo. Ili kupanua wigo, Tanganyika Pakers nyingine ndiyo zijengwe Chalinze, Masasi, Handeni na kwingine.
   
Loading...