Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Wengi wetu hupenda kukusanyika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe aidha kwa ajili ya Mikutano ya Kisiasa, Kidini au hata michezo lkn wote huwa tunasahau kuhusu hiki Kiwanda na nasema tunasahau kwa sababu sijawahi kusikia hata siku moja kwa waliokusanyika wakiuliza hili swali, vipi kuhusu Kiwanda chetu cha Tanganyika Packers? Kwa nini hakifanyi kazi? Je mashine zilizokuwemo ndani ziko wapi? Zimeenda wapi? Hii kitu inauma sana kwa kweli!
Picha ya kwanza kiwanda chetu enzi za Uhai wake, wakati ambapo tulikuwa tunauliza maswali magumu na kupata majibu!
Chini tunaonekana tukicheza na kuchekelea kwa furaha kabisa kwenye viwanja vya Tanganyika Packers lkn hatuulizi mashine zetu ziko wapi?
Hapa tena tumekipa Kiwanda chetu Mgongo na wala hatuna Habari ingawaje ukiangalia kwa mbali utaona mashimo ambapo mpaka madirisha yameibiwa, lkn bado hatujali Tu!