Tanganyika na Zanzibar kutumia leseni za udereva tofauti

Kuepuka gharama nenda kaombe leseni ya Zanzibar kwa kutumia hio leseni yako ya bara kuondoka na usumbufu wa kukata permit kila baada ya miezi mitatu. Mm nilifanya hivyo na nina leseni zote mbili. ( Hakuna msaada wa kisheria sababu huo ndio Muungano tuliinao kwa sasa)
Ahsante sana sana sana umenipa jambo zuri sana sana nitafanya hivyo
 
Katika sheria namba 30 ya usalama barabarani ya mwaka 1973
na marekebisho yake yote ya sheria namba 16(1996) hakuna neno zanzibar ilizungumziwa mkuu
Hiyo sheria ni ya nchi gani? Ya Tanganyika au ya Zanzibar? Tuanzie hapo kwanza.
 
Nshawaambia watu Zanzibar inaitwala Tanganyika kwa kigezo itafichwa watu wanabisha ardhi yenyewe kumiliki huwezi ikiwa wapemba wamejenga hadi Bukoba
 
Pole, hiyo ni nchi nyingine kama ulikuwa hujui
Kama ni nchi nyingine mbona waziri wa mambo ya ndani anatokea Zanzibar? Sio sawa kutumia leseni ya udereva tofauti wakati sheria ni hizohizo. Hili litazamwe upya kwa pande zote mbili ili kuondoa usumbufu usiokuwa wa lazima.
 
Back
Top Bottom