Tanganyika na Wayahudi

mazoo

JF-Expert Member
Mar 15, 2013
215
41
Sina shaka baada ya 2015,whether CCM au CHADEMA,tunawahitaji Wayahudi kulinusuru taifa hili la Mungu .

1.Tunahitaji intelligence yao kupambana na wabaya wa nchi hii,real magaidi.
2.Utaalamu wa irrigation,tuna maji tele lakini bado njaa kibao kwa wananchi wengi
3.Hata katika huduma za afya ku train madaktari wetu.
 
Afadhali hata ungesema Cuba. Israel? It is basically an imperialist country. Hujasikia inawafukuza Waafrika kule kwao?
 
Hata sisi Tanzania,kama kuna watu wanataka kuja kwa wingi nchini,lazima tutawafukuza.
Kuna Eretrians,Ethiopians wanataka kuingia Israel kwa wingi.Hata Bongo wanashikwa vile vile
Israel ni nchi ndogo haiwezi kumudu influx ya watu toka Afrika.

Soma news kidogo.

Mbona watu hwazamii Cuba kama it is very nice.Naona you are so dumb.
 
Hata sisi Tanzania,kama kuna watu wanataka kuja kwa wingi nchini,lazima tutawafukuza.
Kuna Eretrians,Ethiopians wanataka kuingia Israel kwa wingi.Hata Bongo wanashikwa vile vile
Israel ni nchi ndogo haiwezi kumudu influx ya watu toka Afrika.

Soma news kidogo.

Mbona watu hwazamii Cuba kama it is very nice. Naona you are so dumb.
You are the one who is so dumb my friend. Without Cuba today Angola would not be independent. It was Israel who helped the apartheid regime in South Africa acquire the nuclear bomb. Cuba has a high level of doctors of any country in the western hemisphere. Israel simply does not like Africans. Yes, it would like to use them like they used Idi Amin. Now who needs to read the news more?
 
Asafali umemtoa nduki huyu kichwa cha samaki.,anaonekana anapenda sana kusaidiwa,ukichanganya na tunavyoaminishwa SAFARI ZA No 1 ZA KWENDA KUOMBA MISAADA UGHAIBUNI ZINALIPA tutegemee kuwa na vichwa vya samaki kibao.
 
Watanzania watajikwamua wenyewe.

Wayahudi walipewa offer Tanganyika waifanye nchi yao (Israel) na Churchill, wakakataa (thankfully, maana mgogoro wa Wapalestina ungekuwa wetu leo!), kwa nini wawe na interest leo ambapo nchi si yao?
 
Afadhali hata ungesema Cuba. Israel? It is basically an imperialist country. Hujasikia inawafukuza Waafrika kule kwao?

Mimi ningeweza(Ningepata mamlaka na kupoteza UTU) ningemfukuzia Maalim, Ritz,Jussa .....na wazenj wote Oman.Wakamwangalie sultani asubuhi,mchana na jioni...wanakula bure na kuachia ushuzi tuu halafu kazi kupiga vita wananchi wazalendo na nchi yao.Teh teh....

Ila wasomali,wasudan,waesthiopia na wengine...kwa tabia zao ni mzigo...na wanahatarisha usalama wa taifa.Hapa tuu akina Kinana,tunaona uhai wa tembo....na polisi wetu(wamewaua maporini wakiwinda tembo) sasa sijui wakizidi itakuweje?taifa litapoteza mabillioni kukimbizana na hao panya,huku wakijificha katk haki za binadamu na ku side na maadui.
 
You are the one who is so dumb my friend. Without Cuba today Angola would not be independent. It was Israel who helped the apartheid regime in South Africa acquire the nuclear bomb. Cuba has a high level of doctors of any country in the western hemisphere. Israel simply does not like Africans. Yes, it would like to use them like they used Idi Amin. Now who needs to read the news more?
A dumb is clearly known by his/her words.
 
Mimi ningeweza(Ningepata mamlaka na kupoteza UTU) ningemfukuzia Maalim, Ritz,Jussa .....na wazenj wote Oman.Wakamwangalie sultani asubuhi,mchana na jioni...wanakula bure na kuachia ushuzi tuu halafu kazi kupiga vita wananchi wazalendo na nchi yao.Teh teh....

Ila wasomali,wasudan,waesthiopia na wengine...kwa tabia zao ni mzigo...na wanahatarisha usalama wa taifa.Hapa tuu akina Kinana,tunaona uhai wa tembo....na polisi wetu(wamewaua maporini wakiwinda tembo) sasa sijui wakizidi itakuweje?taifa litapoteza mabillioni kukimbizana na hao panya,huku wakijificha katk haki za binadamu na ku side na maadui.

yaani weye wa kuja mwisho ktk hii pwani ya africa mashariki halafu uje uwafukuze wazawa? Yaguju tusingekuacha hata siku 1.
 
Afadhali hata ungesema Cuba. Israel? It is basically an imperialist country. Hujasikia inawafukuza Waafrika kule kwao?

Hata kama angekuwa nani lazima angewafukuza waafrika kwa tabia zao. Waafrika hasa kutoka magharibi mwa afrika wamekuwa na tabia ya kuflow israel bila mpangilio, utadhani wakimbizi. Israel ni nchi ndogo isingeweza ku accommodate watu wengi.
Ni haki yao waafrika kufukuzwa Israel

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
lakini israel si wanasaidia uakristo kupambana na waislamu waache waje
 
Waisraeli hawaukubali ukristo.. Kristo walimtesa mpaka kufa..sasa wanauteteaje ukristo?tumia akili yako siyo kutumia ......
lakini israel si wanasaidia uakristo kupambana na waislamu waache waje
 
Taifa linalojiita teule lakini la kibaguzi!

Ubeberu hawatauacha!

Sio wanajiita, that's simply an eternal FACT. Like it or hate it Ben.

Socialism is no better than capitalism in any given time. Rather one need to be honest and prudent enough to find the + from each and mould it into something useful in the contextual circumstances.
 
Sina shaka baada ya 2015,whether CCM au CHADEMA,tunawahitaji Wayahudi kulinusuru taifa hili la Mungu .

1.Tunahitaji intelligence yao kupambana na wabaya wa nchi hii,real magaidi.
2.Utaalamu wa irrigation,tuna maji tele lakini bado njaa kibao kwa wananchi wengi
3.Hata katika huduma za afya ku train madaktari wetu.

KP nakubaliana nawe kwa sehemu.
Kuna watu wanaumwa Israeliphobias/Jewishphobias. Na ndio utakao waona humu wakitoa shutuma na mashtaka yoyote watakayo dhidi ya Wayahudi kwamba ni kweli au yana uhusiano wowote na matatizo yao hilo huwa sio muhimu.

Wako humu utawaona humu kwani wanajitabainaisha kwa cliches za ki-socialist; ambao hata mababa za huo ujamaa kama Russia, China na Cuba hawajawahi kuonja wala kukaribia hizo ndoto za mchana za Wajamaa/Wakomunist zinazoenezwa na hawa waliopotoka.
 
Hakuna shida wakaribishwe "MOST WELCOM" haijalishi imani zetu.
Ushirikiano hata na firauni katika kujenga TAIFA haya ni masilahi ya pande zote mbili.
Karibuni tuchape kazi.
 
Afadhali hata ungesema Cuba. Israel? It is basically an imperialist country. Hujasikia inawafukuza Waafrika kule kwao?

What a feeble accusation?
Israel ina sababu au wajibu gani kwa Waafrika ambao Waafrika wenyewe mmeshindwa kupeana? Kwa nini kuwalaumu watu kwa madudu yenu? Kuna uhusiano gani wa Wayahudi (in the context of this thread) na Tanganyika ktk kushindwa kwetu kwa miaka hii 50 kuwaondoa maadui watatu UJINGA, MARADHI na UMASKINI?

Sasa hivi kuna adui mbaya zaidi kaongezeka anaitwa UFISADI, je kuna uhusiano gani au mchango wa Wayahudi kwenye hilo?

Mara nyingi kuna sterio-typed claims zinazotolewa na pundits na analyists ambazo uhalisia wake ni kama tofauti ya giza na mwanga.
 
Kuna watu nimewasikia na kuwaona wakitumai kuwa China ikiwa dola lenye nguvu kiuchumi basi/eti dunia itakuwa na usawa zaidi kuliko ilivyo sasa kwa USA. Kila mara ninaposikia hizo comments/remarks zao huwa siachi kujiuliza maswali mengi ya "how's possible"?

China ni watu, kama ilivyo UK au USA ni wabinafsi na hawana mpango wa kuboresha chochote ambacho viongozi wenu hawakipi upau-mbele. Duniani hakuna mjomba wala shangazi, get real!

Wachina wakiiba dhahabu na gesi poa, akiiba Mzungu nongwa. Hoja yangu ni kwanini tuibiwe? Sio nani aliyeiba.
 
Sio kweli kwamba wayahudi wanaweza kutatua matatizo ya Tanzania,
Kitu ninachofikiria mimi ni kwamba Israel kwa wakristo ni nchi ya kihistoria kwa mujibu wa imani yao na huwa wanaenda kule kama hija, wanajisikia vibaya kuona nchi wanayoiona kama nchi muhimu kiimani haina uhusiano mzuri na nchi yao.
Ni kama ambavyo wangejisikia waislamu tusingekuwa na uhusiano na saudia.
 
Kuna watu nimewasikia na kuwaona wakitumai kuwa China ikiwa dola lenye nguvu kiuchumi basi/eti dunia itakuwa na usawa zaidi kuliko ilivyo sasa kwa USA. Kila mara ninaposikia hizo comments/remarks zao huwa siachi kujiuliza maswali mengi ya "how's possible"?

China ni watu, kama ilivyo UK au USA ni wabinafsi na hawana mpango wa kuboresha chochote ambacho viongozi wenu hawakipi upau-mbele. Duniani hakuna mjomba wala shangazi, get real!

Wachina wakiiba dhahabu na gesi poa, akiiba Mzungu nongwa. Hoja yangu ni kwanini tuibiwe? Sio nani aliyeiba.
Yeah, you have a point bro,
Kuna watu wamekaririshwa tu kuwa ubeberu, ubeberu,
Lakini wakiiba wachina wanaona sawa, huo nao ni ujinga pia.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom