Tanganyika law society tunawavika huu wajibu wa kumshitaki Bashite

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,311
73,855
Tanganyika law society tunawavika huu WAJIBU wa kumshitaki Bashite. Mamlaka inaonekana kamwe hazitamwajibisha. Your credibility will be tested on this! Why discriminatory prosecutions! Why?
 
Labda baada ya uchaguzi. Lissu lazima amshughulikie huyu mwizi wa elimu.
 
Tanganyika law society tunawavika huu WAJIBU wa kumshitaki Bashite. Mamlaka inaonekana kamwe hazitamwajibisha. Your credibility will be tested on this! Why discriminatory prosecutions! Why?

Pia uwaambie wajipime kama bado wanafaa kuwepo nchini mwetu au tuwafute!
 
Tania hii itaadhiri vizazi vijavyo, serikali inatakiwa ijipime kama kweli inapenda haki
 
Back
Top Bottom