Tanganyika Law Society: TAARIFA YA DHARURA juu ya Muswada wa Katiba

:love:

At least you have said

Sasa kama walikuwa wanapuuzia wakisema ni kelele za CHADEMA tuone watafanya nini sasa maana TLS ni chomboe cha kisheria kilichoanzishwa kwa Sheria kwa jukumu la kushauri serikali kwa mambo ya msingi kama haya...tuone sasa
 
Wameonesha uzalendo.

Lakini pia tayari wameshachakachuliwa akili...
Vipi wao wanajiita watanzania bara, Tanzania mainland...hapa nashindwa kuwaelewa hawa wasomi wetu-
Chama chao kinaitwa Tangayika law society...lakini wanajiita watanzania mainland....wajameni si ndio wamekubali kuchakachuliwa hawa.

Bora wabadilishe jina kutoka Tanganyika law society to Tanzania mainland law society. It will make sense.
:: Tanganyika Law Society Official Website ::
Halafu hakuna mtanzania bara wala mtanzania visiwani..kuna mtanzania tu ambaye ama ni mtanganyika au mzanzibari.
These "msomis" iko confuse us!
They are confused or brainwashed and they want to confuse us.

Umesoma content vizuri? Jadili hoja! Jina lao lisikufanye uwaone kuwa wako "brainwashed" and "confused". Mbona mimi naona document imeandaliwa viziri sana na ni very objective, vipi wewe uone kuwa jina ni ishu badala ya kujadili hoja waliyowasilihsa jamvini? Tafakari Chukua Hatua!
 
Wanasheria mnao mchango mkuubwa kuhakikisha nchi inapata msingi mzuri wa katiba mama, hivyo basi ni wajibu wenu kuhakikisha lugha za kisheria ni rahisisi kwa mtanzania wa kawaida kuelewa.
 
6. Kuhusu kifungu cha 6 cha Muswada - Uteuzi wa wajumbe wa Tume: Chama kinatoa maoni na mapendekezo yafuatayo:
  • Uwakilishi katika Tume: Muswada unapendekeza Tume iwe na uwakilishi wa Tanzania Bara na Visiwani kwa idadi sawa. Lakini kifungu hiki hakizingatii hata kidogo tofauti ya ukubwa wa idadi ya watu na kwamba Katiba ya Muungano inahusika na Zanzibar pale tu masuala ya Muungano yanapotajwa. Hivyo basi, ili kuhakikisha kuna uwiano stahikikatika Tume (yaani unaozingatia sura halisi ya mambo), idadi ya wajumbe kutoka Tanzania Bara na kutoka Visiwani izingatie idadi ya watu.
Hawa wanasheria wanazungumza kama wanasiasa.

Wameonesha mapungufu haya" Katiba ya Muungano inahusika na Zanzibar pale tu masuala ya Muungano yanapotajwa"
Ni kwa asilimia ngapi katiba ya Muungano inazungumzia muungano na mambo ya Muungano?
Na asilimia ngapi ya katiba inayoitwa ya muungano inazungumzia mambo ya Tanganyika na katiba ya Tanganyika?

Walikuwa wependekeze kwa mambo yanayohusu Muungano basi usawa uzingatiwe lakini wangependekeza Katiba ya Tanganyika isichanganywe kwenya Katiba ya Muungano na kwa hiyo itolewe kwenye Katiba ya Muungano.

These guys wanauma na kupuliza...hawajiamini.
11. Kuhusu vipengele visivyoruhusiwa kuguswa – Kifungu cha 9 (2) na 20 (1):
Muswada unafanya vipengele vya msingi vinavyohusu ibara za msingi za Katiba visiguswe. Kwa mfano, kif. 9 (2) kinataka mambo ya Muungano na suala la ofisi ya Rais, mambo yote mawili ambayo yaliyowekwa na Katiba, yasiguswe. Kif. 20 (1) kinakinzana na Ibara 26(2) ya Katiba ambayo inalinda haki ya mwananchi kupinga uhalali wa kikatiba wa sheria za nchi. Kuviacha vifungu vibaki pia ni kukiuka utekelezaji wa Utawala wa Sheria.
Hapa pia wanauma maneno.

Mbali na kuiweka katika lugha ya mzunguko walikuwa watoe ushuri kuwa suala la muungano kujadiliwa ni muhimu sana tunapojadili katiba mpya. Tena mjadala wa muungano ulikuwa utangulie ule wa uandishi wa katiba mpya.

Kwa sababu katiba inakuja baada ya kujua aina gani ya Muungano watanzania wanautaka. Inaonekana hakuna wa kumfunga "paka kengele" katika hawa wasomi wetu.

The whole things seem to spin out of control..CCM na serikali wasipoacha usanii wanatupeleka pabaya.
 
Kwa sababu katiba inakuja baada ya kujua aina gani ya Muungano watanzania wanautaka.
Inaonekana hakuna wa kumfunga "paka kengele" katika hawa wasomi wetu.

The whole things seem to spin out of control..CCM na serikali wasipoacha usanii wanatupeleka pabaya.

Kwani hakuna ZLS? Si nawao wasem ya kwao au kule kuchana muswada ndio kusema kwenyewe?
 
Umesoma content vizuri? Jadili hoja! Jina lao lisikufanye uwaone kuwa wako "brainwashed" and "confused". Mbona mimi naona document imeandaliwa viziri sana na ni very objective, vipi wewe uone kuwa jina ni ishu badala ya kujadili hoja waliyowasilihsa jamvini? Tafakari Chukua Hatua!

Mkuu.
Nimesema wameonesha uzalendo au hukuona hilo.....lakini pia nimewashangaa kwa kujiita watanzania bara..kama wewe huoni ni tatizo hilo mimi naliona ni tatizo.
Lakini hapo juu pia kuna mchango wangu kidogo kuhusu vipengele 6 na 11.
 
thanks mawakili wetu but kama mmechelewa vile, mlitakiwa kuamka mapema mjadala huu ulipo anza
 
Kitaaluma hufanya BAR EXAMS zinazosimamiwa na mahakama kuu....usiwadharau hata kama hawajui hesabu
Mimi siwadharau. Lakini si unaona mahakama zetu zinavyohukumu? Si unaona tunavyoingia mikataba yetu na kampuni za nje? Si unaona miswada ya ajabu inavyoandaliwa kupelekwa kwenye Bunge letu mbumbumbu? Sheria ni taaluma ya zamani sana nchi hii. Kuna haja ya kuwa na Bodi yao ya kitaaluma. Hizo BAR EXAMS ni vitu vidogo mno.
 
Wahasibu wana NBAA kwani wizi umeisha?
 
TANZANIA TUMELOGWA????

Kwa nini hatutumii weledi wa watu wetu katika kutatua changamoto zetu? TLS ni watanzania ambao kwa upeo wao walitakiwa angalau kushirikishwa kuboresha muswada huu... tutatumia gharama kubwa kutatua tatizo ambalo halikutakiwa kuwepo...

Na kwa kiburi cha serikali yetu na CCM muswada huu unaweza kupitishwa bila marekebisho makubwa ama unaweza kucheleweshwa kwa makusudi ili kuwakomoa wanaotaka katiba mpya
 
Umenisaidia kujua nini ZLS..
Sasa ungenisaidia kujua hii ZLS na wao waseme lina uhusiano gani na mchango nilioutoa mimi?
Naona ulinukuu mchango wangu halafu ukaja na huu usemi.

Sikufahamu ulikusudia nini.
 
TLS mlikuwa wapi mambo mengi ya kisheria yanakuwa yanakoseshwa?nimesoma hiyo hati yenu BIG UP.......................,tafadhali tengenezeni idara ya kisheria ya mikataba, kama ipo tuokoeni na hii mikataba feki kwenye sector kama madini na uwekezaji mwingine!

Naamini tunao wanasheria wazuri tatizo pesa mbele kwanza kuliko mustakabali wa nchi!

"BETRAYAL IS COMMON THEME IN AFRICA (TANZANIA)"
 
Back
Top Bottom