Tanganyika Law Society kumburuza mahakamani RC Makonda

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,819
49,016
Rais Wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu amesema Chama hicho kwa Azimio La Baraza La Uongozi Wake, Kitamfikisha Mahakamani Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda kwa kosa la kuvamia Clouds Media Group.
Pia TLS Imeahidi kushughulikia suala La Fao La Kujitoa.
Ameyasema hayo leo mkoani Dodoma alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari.

FB_IMG_1493556602866.jpg

FB_IMG_1493556619399.jpg
 
Huko mahakamani wawe makini kwani Bashite na GSM wana pesa nyingi sana baada ya kuchukua ile 10% yao pesa za ununuzi ndege kwa cash wataenda kutembeza Rushwa ikibidi waweke mashushu wao mapema kufuatilia nyendo za jaji atayeshikilia hiyo kesi huku Bashite akidhibitiwa na ule utitiri wake wa waganga wa kienyeji .
 
Rais Wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu amesema Chama hicho kwa Azimio La Baraza La Uongozi Wake, Kitamfikisha Mahakamani Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda kwa kosa la kuvamia Clouds Media Group.
Pia TLS Imeahidi kushughulikia suala La Fao La Kujitoa.
Ameyasema hayo leo mkoani Dodoma alipokuwa anaongea na Waandishi wa Habari.
View attachment 503096
View attachment 503097
Sio bashite tena karudi kuwa MAKONDA
 
Rushwa za ngono kwa akina wema nazo zinaandaliwa safari hii Daud Bashite ataleta waganga wa kienyeji mpaka wafike 2000 maana sasa wapo utitiri mpaka kapagawa hajui ni yupi anamsaidia
 
Back
Top Bottom