Tanganyika kuvaa Joho la Tanzania uhuru 1961 unafaida kani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanganyika kuvaa Joho la Tanzania uhuru 1961 unafaida kani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Mar 22, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tanganyika kuvaa Joho la Tanzania.
  Takribani Wzanzibar wamekuwa Comfuse na kutokujitambuwa kuwa tuko katika Muungano or katika utawala wa kimabavu kwa jina la Muungano?.
  hivi sasa matatizo ya Muungano yamekuwa mengi kiasi cha kukosa hata uhalali wa kutokuaminiwa huo Muungano wenyewe kuwa ulikuwa na lengo gani zuri.
  Kimsingi inatakikana hivi sasa Wzanzibar tusijipange kwa kusubiri tume yenye kuchaguliwa na hao wenye kuleta kero za Muungano?.
  Chamsingi ni kuwa sisi ambao ndio wasirika wakubwa wa Muungano tutafakari jinsi gani ya kujikwamua ktk asari hizi tusije tukatoka ktk Bad na tukaingia ktk Warst.
  Mimi na hisi kusema tujipange vizuri kusubiri tume ya katiba kutoka Tanganyika kuja kukuchanya maoni sio jambo la msingi? Sisi kama Wzanzibar katiba ya Muungano itatusaidia nini wakati huo Muungano wenyewe umechapoteza uhalali wa kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
  Ikiwa mshirika mkuu wa Muungano mmoja amejiondowa na kujivika Joho la Ubaba na Umimi jee kutakuwa na faida gani ya Wzanzibar kungagania katiba ambayo shina lake ni bovu, si kujitumbukuza katika matatizo zaidi?.
  Chakufanya Wzanzibar hivi sasa nikuachana na katiba ijayo na kwa kutumia Baraza la Wawakilishi wetu,nikupeleka mshwada wa Serekali 3 yani Tanganyika kuwa na Serekali yake ya Tanganyika na katiba yake yakusimamia mambo yake yasiwe ya Muungano na Zanzibar kuwa na Serekali yake na Kusimamima mambo yake yasiwe ya Muungano hapo ndipo patakapo weza kuwa na usawa wa Muungano na kuondocha kero za Muungano.
  Hivi sasa kero nyingi za Muungano zimekuja kutokana na wenzetu wa Tanganyika kua Tanganyika yao na Katiba yao ambayo inaleta comfusi wa usimamizi wa mambo yao yasio ya Muungano.
  Kuna mambo mingi yaliokuwa hayamo ktk Muungano wenzetu hutumia ujanja wakuyaingiza ktk Muungano na kuleta utata katika Muungan,Bila ya serekali tatu yani Tanganyika kurudi na katiba yake Muungano utakuwa siku zote umeegemea upande moja/ dawa pekee niku rudisha Serekali ya Tanganyika na katiba yake au ikiwa wenzetu hawataki hivyo njia ya mkata ni kuvunja Muungano na kila mtu kuwa na lake.
   

  Attached Files:

 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wazanzibar wakizidisha dharau napendekeza kuwalazimishe kijeshi bila kuiogopa America.
   
 3. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Usiwe mjinga wewe enzi za guvu zimeshapitwa na wakati,pigana kwa hoja sio nguvu,unajiaminicha vipi kwa mwanamme mwenzako?au hoja nikwakuwa muko wingi wa Nzi? wzanzibar nikidogo lakini wa Nyuki. waswahili husema Mlango ukukerao kwa Upepe nikuufunga, kwa ni umelazimishwa kuungana? mbona unagagania Muungano mpaka kufika hadi kumwaga damu ki- Jeshi? wakati utajiri wenu ni mkubwa Tanganyika?.
   
Loading...