Tanganyika, Katavi: Mwanafunzi wa miaka 13 abakawa hadi kufariki

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,779
18,746
Mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 anayesoma Shule ya Msingi Kipanga wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi, amebakwa hadi kufa na watu wasiojulikana na kisha kuutupa mwili wake korongoni.

Kwa ukatili huu wakikamatwa wanastahili adhabu gani?

upload_2017-6-10_11-44-16.png
 
Huwezi kutaka kuwaadhibu bila kwanza kuwajuwa na kuwatambua, Lakini pia jinsia ya kiume ina hulka na silka ya kuforce tendo la ndoa licha ya kuwa binaadamu ametunukiwa akili za kujua mema na mabaya .

Kwa ujumla hilo tendo ni la kinyama na kinyume cha utu wa mwanadamu
 
Kesi za ubakaji za watoto Mara nyingi ni masharti ya mganga, MTU aliye timama hawezi kufanya ujinga huo!

RIP our kid.
 
Wakati mwingine serikali baada ya taratibu za kimahakama kumalizika dhidi ya watu kama hawa iwe inatupatia hata kwa siri ili tuwatendee matendo yatakayoishangaza dunia!
 
Nikajua Tanganyika ya huku Tanga..btw naamini jeshi letu la polisi litafuatilia na kuwabaini wahalifu
 
Hivi vitendo vilitakiwa viwe vinahukumiwa hadharani.
Risasi zingekuwa zinapigwa hadharani kwenye kichwa mpaka maini yachanganyike na filigisi
 
Mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 anayesoma Shule ya Msingi Kipanga wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi, amebakwa hadi kufa na watu wasiojulikana na kisha kuutupa mwili wake korongoni.

Kwa ukatili huu wakikamatwa wanastahili adhabu gani?

View attachment 521932
Watakuwa wambaka kisha wakamuua kupoteza ushahidi. Ukatili ulioje!
 
Kisa udomo zege unaenda kumharibia mtoto future, wakati wakina chausiku huku mtaa ni wengi mpaka wametulemea kugegeda tunaitaji msaada
 
Mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 anayesoma Shule ya Msingi Kipanga wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi, amebakwa hadi kufa na watu wasiojulikana na kisha kuutupa mwili wake korongoni.

Mungu atawalipa sawia na matendo yao, RIP mwanafunzi
 
Back
Top Bottom