Tanganyika, Katavi: Mwanafunzi wa miaka 13 abakawa hadi kufariki

Kuna makosa makubwa hapa Tanzania adhabu zake naona sio kali sana ndio maana haya matukio yanaendelea kuwepo.

Ni wakati wa kuweka sheria ngumu ili kukomesha vitendo vya ajabu nchini ila tuanzie kwenye uongozi kisha ndo tushuke chini.
 
Miaka yote serikali inashindwa kupitisha sheria kali kwa watu kama hawa why
Hawa watu na matukio zaidi ya IS hawafai kuwa katika jamii
 
Kuhidhi dna za raia (na hasa wahalifu) ni vitengo ktk jeshi la polisi ktk nchi za wenzetu wa majuu. Husaidia kukamata wahalifu wa aina hii kwani manii walio acha hupimwa na kulinganishwa na dna walizonazo kwenye databank yao. Hapa kwetu akishazikwa ndio kazi imekwisha. Very sad.
 
Kuhifadhi dna za raia (na hasa wahalifu) ni vitengo ktk jeshi la polisi ktk nchi za wenzetu wa majuu. Husaidia kukamata wahalifu wa aina hii kwani manii walio acha hupimwa na kulinganishwa na dna walizonazo kwenye databank yao. Hapa kwetu akishazikwa ndio kazi imekwisha. Very sad.
 
Aisee mwanadamu wakati mwingine anafanya mambo yanamshangaza hata shetani...... lala mahali pema mtoto. Poleni wafiwa wote Mungu awape faraja
 
Inaumiza sana kutoa uhai wa mtoto kwa kumfanyia unyama kiasi hiki, Allah amsamehe madhambi yake ampumzishe mahali pema, maana kwa tendo alilofanyiwa ni zaidi ya adhabu
 
Back
Top Bottom