Tanganyika izaliwe upya kwa jina la Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanganyika izaliwe upya kwa jina la Tanzania

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by abdulahsaf, Mar 31, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Randal Sadleir

  Randal Sadleir, who died on August 11 aged 85, was a colonial servant in Tanganyika whose friendship with the charismatic Julius Nyerere enabled him to stay on as the last British official in independent Tanzania until 1973.

  [​IMG]

  Katika marekebisho ya utata wa katiba ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulio asisiwa na watu wawili Raisi wa Tanganyika Mwalimu Juliasi K Nyerere na Raisi wa Zanzibar Mh Abedi A Karume umeibua kero nyingi za Muungano baada ya kufa kwa mshirika mmoja wa Muungano ambaye ni Tanganyika na kuzaliwa Tanzania ya Sasa.
  Jina hili inaonekana ndio baba wa matatizo makubwa ya gero za Muungano,ukiangalia mvutano wa jina hili ni mkubwa kuliko hata huo Muungano wenyewe.
  Upande wa Bara wao hupenda sana kujita Wtanzania na ukiwaita Wtanganyika ugomvi na kusema unawabaguwa, Wzanzibar hushangazwa kuwa hili jina la tanganyika hawalipendi kwa nini? hata sherehe za uhuru wa Tanganyika 9 december 1961 wenzetu husema wanasherehekea sherehe za uhuru wa Tanzania.
  Jee hawashangazwi na Wzanzibar popote pole walipo hua wanajinasi kujita Wzanzibar? na nikatu kuwaona Wzanzibar kujita Wtanzania,kwa sababu kumbukumbu hazionyeshi Tanzania kuwa ni nchi gani na imepata uhuru wake lini?.
  Sasa kilimacho cha wenzetu kinakuja hapa,wao wakiwa njee ya Tanzania wakiulizwa historia ya uhuru wa Tanzania ni ipi hutowa historia ya Tanganyika na huziba ziba kwa kusema kilichobadilika hapa ni jina tu ni sawa na Zaire kuita Kongo lakini Simbuli za Tanganyika ni zile zile Nembo ya Adam na Hawa ni ile ile katiba ya Tanganyika ni ile ile imefanyiwa marekebicho kidogo tu kama Tanganyika kuita Tanzania.
  Mimi nahisi wenzetu walifuja sana makubaliano ya Muungano mpaka ikafika hadi kujizonga wenyewe na kumtafuta mchawi wao ni yupi kumpe ni wao wenyewe kwa kumsikiliza Baba yao wa Taifa
  Nyerere. Akili nyingi mbele kiza,Wao waliona Nyerere ana akili nyingi na kila kitu ni right asemacho au afanyacho yeye.
  Nipale walipo itana Wtanganyika na Kujikushanya ktk Bunge lao la Tanganyika na kumsikiliza Mwalim kuiuwa nchi yao Tanganyika na kuvaa koti la ubatizo Tanzania.
  Kimoja kinachowachanganya akili hivi sasa ni pale kusema Nyerere kuwa kuanzia sasa hakuna tena Tanganyika kila penye Tanganyika popote andika Tanzania na katiba hii ya Tanganyika itakuwa ndio katiba ya Tanzania tutaifanyia marekebisho kidogo tu.
  Lengo la Mwalim mbele ya Mh Abedi Amani na Muungano lilikuwa sio jema.mendality za Mwalimu zilikuwa ni one day yes,yani siku moja Zanzibar itasalimicha watu wake million 1 kwa Wtanganyika million 44 na itakuwa nchi moja itwayo Tanzania (Tanganyika).
  Hii ni mipango ipo zamani kupotezwa kwa taifa la watu wa Zanzibar,kuna hatuwa nyingi wameweza kufanikiwa wenzetu kwa kushirikiana na wanafiki wa Zanzibar kwa mwevuli wa ilani za chama,hii leo ilani za ccm Dodoma zashinda imani ya muislamu ccm/smz Zanzibar, ccm-smz yuko tayari kuuwa kwa jili ya chama hajali sala 5 uislamu wake wala uzalendo wa nchi yake kwa kizazi cha wajukuu zake. yote anayo yafanya kwa uislamu ni unafiki tu wa kuonekana mbele ya watu sio kupigana jihadi ya nchi yake.
  Viongozi wote wa ccm wakitwa tu Dodoma wakisha kabiziwa ilani ya Chama huwa Mayahudi na wako tayari kuiona Zanzibar na Wazanzibar wanapotezwa na wao husahau kuwa hawana mikataba na M/mungu kuwa wanaishi mpaka lini? hujisahau kuwa sala zao na ibada zao zitawatesa kwa unafiki wao juu ya majukumu ya uongozi.
  Viongozi walofujaa April mswada wa katiba unapitishwa ktk Bunge angalao jisafisheni muinusuru Zanzibar isizidi kupotea ktk mikono yenu, kuna leo na kecho madaraka nimatamu lakini maisha nayo nimafupi jee mutasimama vipi mbele ya Allah ktk majukumu yenu ya uongozi?.
  Hakuna super wa Super power ispokuwa Allah na mumechukuwa Zima zidi ya haki za wzanzibar kusimamiwa zisiporwe na wajanja hili ni jukumu lenu kwavile ni viongozi na mumejikubalicha majukumu ya kutuongoza.
  Mimi nasema atlist lisimamieni hili la haki za Zanzibar bila kuangalia ilani za vyama vyenu? na jengine tuwasaidie wajanja hawa wenzetu wa Tanganyika kuzaliwa upya kwa jina la Tanzania halafu ndio tufanye mazungumzo ya Muungano, baina ya Tanzania na Zanzibar kwa ridhaa za watu wetu wa pande mbili?.
  ikiwa upande mmoja utajihisi hautaki Muungano basi sio Zambi nikuvunjwa na kuishi na ujirani tu. na ikiwa pande zote zitakubaliana uwepo Muungano basi solution ni kila upande uwe na mambo yake yasio ya Muungano na yasimamiwe na katiba yake kwa mambo yasio ya Muungano? hivi sasa Muungano umekuwa kero kubwa na kero hizo zimekuja vipi?.
  Nipale mshirika mmoja kujitowa na Kuvaa koti la ubaba na usuper power,Wzanzibar tumeanza kupiga kelele tokea miaka 47 kuwa makubaliano ya Muungano yamevurugwa sio hivi tulivyo kubaliana nilazima turudi mezani na kujadili makubaliano tuliokubaliana.
  Wenzetu wakatumia vilinge na mazingaobwa ya ilani ya chama na kuhozi mambo yote ya Muungano kwenye chama na kujiona yupi mwenye haki zaidi ktk Muungano ni yule mwenye Ardhi kubwa na watu wengi.
  Ndio ukaona wenzetu wamezowea kusema hatuwezi kuwa sawa Bara na Zanzibar kwa vigezo vya kuwa Wao ni wengi million 44 sisi Wazanzibar ni kidogo million 1.2 na hutu-treat kama mkoa na kufika hati kusema maneno mengi ya Zarau kuwa wazanzibar hawafiki hata mkoa mja wa Bara lakini wanataka usawa vipi? ndio tulipo ungana si tuliungana nchi na nchi au nchi na wilaya? kama ni hivyo basi sisi tuko ready kuvunja MUungano kuliko kupoteza nchi yetu kutokana tu eti ni kidogo na ardhi yetu ni ndogo.
  Mbona ziko nchi nyingi tu zimepewa kiti cha Umoja wa Mataifa UN haliyakuwa watu wake hata million hawafiki?. iwejee sisi Wazanzibar tue nchi yetu kutokana na udogo tu wa nchi yetu na ardhi yatu. kama mawazo ni haya Wazanzibar kwenda mbali na Muungano nikujipoteza kabisa. Tusikubali maslahi ya mtu moja kupewa heshima Dodoma ndio Zanzibar ipotezwe.
  Upole wetu na ukarimu wetu kupita kiasi wakati mwengine ni maafa haya tunayo kumbana nayo Wzanzibar na tukabaki kunugunika vichochoroni maisha magumu nchi imevamiwa na wageni mila zetu zimepotea yote haya ni maradhi ujitakia mwenyewe. Tukiambiwa Wzanzibar ni wapole na wakarimu sio kwa kila kitu hata chenye kutuzuru? Mfano asari alioitia Mohammed Seif Hatibu kuondowa Possport Zanzibar umeona sasa asari yake? na yeye heshima tulompa Wzanzibar ni kila kipindi kumshagua kuwa Mbunge wa Uzi Home boy? na yuko wapi Bara huja Zanzibar kwa Kuhujumu tu.
  Kwa hio wachawi wa Zanzibar huwalea wenyewe Wzanzibar . Mungu ibariki Zanzibar na Kizazi shetu kisipotee
   
 2. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  ndeeefu ntaludi kusoma bdae.
   
 3. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  [​IMG] Randal Sadleir, who died on August 11 aged 85, was a colonial servant in Tanganyika whose friendship with the charismatic Julius Nyerere enabled him to stay on as the last British official in independent Tanzania until 1973.
  Katika marekebisho ya utata wa katiba ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulio asisiwa na watu wawili Raisi wa Tanganyika Mwalimu Juliasi K Nyerere na Raisi wa Zanzibar Mh Abedi A Karume umeibua kero nyingi za Muungano baada ya kufa kwa mshirika mmoja wa Muungano ambaye ni Tanganyika na kuzaliwa Tanzania ya Sasa.
  Jina hili inaonekana ndio baba wa matatizo makubwa ya gero za Muungano,ukiangalia mvutano wa jina hili ni mkubwa kuliko hata huo Muungano wenyewe.
  Upande wa Bara wao hupenda sana kujita Wtanzania na ukiwaita Wtanganyika ugomvi na kusema unawabaguwa, Wzanzibar hushangazwa kuwa hili jina la tanganyika hawalipendi kwa nini? hata sherehe za uhuru wa Tanganyika 9 december 1961 wenzetu husema wanasherehekea sherehe za uhuru wa Tanzania.
  Jee hawashangazwi na Wzanzibar popote pole walipo hua wanajinasi kujita Wzanzibar? na nikatu kuwaona Wzanzibar kujita Wtanzania,kwa sababu kumbukumbu hazionyeshi Tanzania kuwa ni nchi gani na imepata uhuru wake lini?.
  Sasa kilimacho cha wenzetu kinakuja hapa,wao wakiwa njee ya Tanzania wakiulizwa historia ya uhuru wa Tanzania ni ipi hutowa historia ya Tanganyika na huziba ziba kwa kusema kilichobadilika hapa ni jina tu ni sawa na Zaire kuita Kongo lakini Simbuli za Tanganyika ni zile zile Nembo ya Adam na Hawa ni ile ile katiba ya Tanganyika ni ile ile imefanyiwa marekebicho kidogo tu kama Tanganyika kuita Tanzania.
  Mimi nahisi wenzetu walifuja sana makubaliano ya Muungano mpaka ikafika hadi kujizonga wenyewe na kumtafuta mchawi wao ni yupi kumpe ni wao wenyewe kwa kumsikiliza Baba yao wa Taifa Nyerere. Akili nyingi mbele kiza,Wao waliona Nyerere ana akili nyingi na kila kitu ni right asemacho au afanyacho yeye.
  Nipale walipo itana Wtanganyika na Kujikushanya ktk Bunge lao la Tanganyika na kumsikiliza Mwalim kuiuwa nchi yao Tanganyika na kuvaa koti la ubatizo Tanzania.
  Kimoja kinachowachanganya akili hivi sasa ni pale kusema Nyerere kuwa kuanzia sasa hakuna tena Tanganyika kila penye Tanganyika popote andika Tanzania na katiba hii ya Tanganyika itakuwa ndio katiba ya Tanzania tutaifanyia marekebisho kidogo tu.
  Lengo la Mwalim mbele ya Mh Abedi Amani na Muungano lilikuwa sio jema.mendality za Mwalimu zilikuwa ni one day yes,yani siku moja Zanzibar itasalimicha watu wake million 1 kwa Wtanganyika million 44 na itakuwa nchi moja itwayo Tanzania (Tanganyika).
  Hii ni mipango ipo zamani kupotezwa kwa taifa la watu wa Zanzibar,kuna hatuwa nyingi wameweza kufanikiwa wenzetu kwa kushirikiana na wanafiki wa Zanzibar kwa mwevuli wa ilani za chama,hii leo ilani za ccm Dodoma zashinda imani ya muislamu ccm/smz Zanzibar, ccm-smz yuko tayari kuuwa kwa jili ya chama hajali sala 5 uislamu wake wala uzalendo wa nchi yake kwa kizazi cha wajukuu zake. yote anayo yafanya kwa uislamu ni unafiki tu wa kuonekana mbele ya watu sio kupigana jihadi ya nchi yake.
  Viongozi wote wa ccm wakitwa tu Dodoma wakisha kabiziwa ilani ya Chama huwa Mayahudi na wako tayari kuiona Zanzibar na Wazanzibar wanapotezwa na wao husahau kuwa hawana mikataba na M/mungu kuwa wanaishi mpaka lini? hujisahau kuwa sala zao na ibada zao zitawatesa kwa unafiki wao juu ya majukumu ya uongozi.
  Viongozi walofujaa April mswada wa katiba unapitishwa ktk Bunge angalao jisafisheni muinusuru Zanzibar isizidi kupotea ktk mikono yenu, kuna leo na kecho madaraka nimatamu lakini maisha nayo nimafupi jee mutasimama vipi mbele ya Allah ktk majukumu yenu ya uongozi?.
  Hakuna super wa Super power ispokuwa Allah na mumechukuwa Zima zidi ya haki za wzanzibar kusimamiwa zisiporwe na wajanja hili ni jukumu lenu kwavile ni viongozi na mumejikubalicha majukumu ya kutuongoza.
  Mimi nasema atlist lisimamieni hili la haki za Zanzibar bila kuangalia ilani za vyama vyenu? na jengine tuwasaidie wajanja hawa wenzetu wa Tanganyika kuzaliwa upya kwa jina la Tanzania halafu ndio tufanye mazungumzo ya Muungano, baina ya Tanzania na Zanzibar kwa ridhaa za watu wetu wa pande mbili?.
  ikiwa upande mmoja utajihisi hautaki Muungano basi sio Zambi nikuvunjwa na kuishi na ujirani tu. na ikiwa pande zote zitakubaliana uwepo Muungano basi solution ni kila upande uwe na mambo yake yasio ya Muungano na yasimamiwe na katiba yake kwa mambo yasio ya Muungano? hivi sasa Muungano umekuwa kero kubwa na kero hizo zimekuja vipi?.
  Nipale mshirika mmoja kujitowa na Kuvaa koti la ubaba na usuper power,Wzanzibar tumeanza kupiga kelele tokea miaka 47 kuwa makubaliano ya Muungano yamevurugwa sio hivi tulivyo kubaliana nilazima turudi mezani na kujadili makubaliano tuliokubaliana.
  Wenzetu wakatumia vilinge na mazingaobwa ya ilani ya chama na kuhozi mambo yote ya Muungano kwenye chama na kujiona yupi mwenye haki zaidi ktk Muungano ni yule mwenye Ardhi kubwa na watu wengi.
  Ndio ukaona wenzetu wamezowea kusema hatuwezi kuwa sawa Bara na Zanzibar kwa vigezo vya kuwa Wao ni wengi million 44 sisi Wazanzibar ni kidogo million 1.2 na hutu-treat kama mkoa na kufika hati kusema maneno mengi ya Zarau kuwa wazanzibar hawafiki hata mkoa mja wa Bara lakini wanataka usawa vipi? ndio tulipo ungana si tuliungana nchi na nchi au nchi na wilaya? kama ni hivyo basi sisi tuko ready kuvunja MUungano kuliko kupoteza nchi yetu kutokana tu eti ni kidogo na ardhi yetu ni ndogo.
  Mbona ziko nchi nyingi tu zimepewa kiti cha Umoja wa Mataifa UN haliyakuwa watu wake hata million hawafiki?. iwejee sisi Wazanzibar tue nchi yetu kutokana na udogo tu wa nchi yetu na ardhi yatu. kama mawazo ni haya Wazanzibar kwenda mbali na Muungano nikujipoteza kabisa. Tusikubali maslahi ya mtu moja kupewa heshima Dodoma ndio Zanzibar ipotezwe.
  Upole wetu na ukarimu wetu kupita kiasi wakati mwengine ni maafa haya tunayo kumbana nayo Wzanzibar na tukabaki kunugunika vichochoroni
  maisha magumu nchi imevamiwa na wageni mila zetu zimepotea yote haya ni maradhi ujitakia mwenyewe. Tukiambiwa Wzanzibar ni wapole na wakarimu sio kwa kila kitu hata chenye kutuzuru? Mfano asari alioitia Mohammed Seif Hatibu kuondowa Possport Zanzibar umeona sasa asari yake? na yeye heshima tulompa Wzanzibar ni kila kipindi kumshagua kuwa Mbunge wa Uzi Home boy? na yuko wapi Bara huja Zanzibar kwa Kuhujumu tu.
  Kwa hio wachawi wa Zanzibar huwalea wenyewe Wzanzibar . Mungu ibariki Zanzibar na Kizazi shetu kisipotee
   
 4. King Zenji

  King Zenji Senior Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33

  ,,,,,,, Sijasoma MAELEZO yako meeeengi haswa kutokana na mpangilio wa maandiko yenyewe,lakini kwa UFUPI kabisa nimeona mantiki yako ni nini.Sioni ishu kama JINA la TANZANIA ndio ishu kuuuubwa na muhimu kwa GENERATION hii ya sasa.

  Ukweli ni kwamba watu wengi tumezaliwa nchi hii ikiitwa TANZANIA.Na kwa sababu watu wote wenye kuangalia MBELE huwa hawana haja ya kuanza kila siku KUANGALIA JUZI kulikuwa na nini,nadhani ndio maana WATANGANYIKA wengi wamepitiwa na hilo.

  Naomba nikuulize,kwako wewe jina ZANZIBAR au TANGANYIKA linakuongezea nini katika hali halisi ya maisha yako ya kila siku hapo mtaani kwenu,chochoroni kwa ALINATU etc,,,,,acha bla bla bana KACHAPE kazi,hatuna muda wa kugombea majina bana.
   
 5. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Natafakari kimantiki juu ya HOJA yako.
   
Loading...