Tanga wing mupoo??

Tupo kaka,baiskel kwa hapa mjini zinaboa kweli,hasa ukizingatia ufinyu wa barabara.
 
Tupo kaka,baiskel kwa hapa mjini zinaboa kweli,hasa ukizingatia ufinyu wa barabara.

ha ha ha poa anko mie nimeumind bonge la usafiri yani unantoa hospital maskani dukani poa
Madame B hivi mie nina sura gumu mpaka mtu ananiita kaka?
 
Last edited by a moderator:

Na mie nimekuja kupanda baiskeli serious huu usafiri nimeuzimia mbayaaa.Tokea niujue usafiri mwingine hauna nafasi nainjoi sana.

Sisi tumehamia kwenye boda boda siku hizi. Upo mpaka lini Amu ?
 
karibu sana amu
hiyo ndio tanga yetu
na huo ndio usafiri wetu,
enjoy ndani ya jiji letu !!waaalala?waondoka kesho?
 
Last edited by a moderator:
Sisi tumehamia kwenye boda boda siku hizi. Upo mpaka lini Amu ?

thankx nipo ngamiani nauguza mpaka akipata kiunafuu kiduchu nageuza nae dar so cjui ni lini ila pamoja na stress b aiskeli nimeinjoi mnooo
 
Karibu jiji la amu unauguzia hospitali gani tuje kukusabahi?
 
Last edited by a moderator:
Sisi tumeachana na bodaboda tumehamia kwenye bajaji

Nasi tulivyoona bei ya ngwese inapaa daily tumeachana na matumizi yasiyo na ulazima tumeahamia zetu kwenye usafiri wa ungo kitambo! Daadadeki sayansi mwitu hiyo!!
 
amu ulisha wahi kupanda ngongongo weye? Karibu Handeni usafiri wetu ni wa kuteleza kwa baiskel ya mbao kutoka mlimani hadi chini
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom