Na mie nimekuja kupanda baiskeli serious huu usafiri nimeuzimia mbayaaa.Tokea niujue usafiri mwingine hauna nafasi nainjoi sana.
Sisi tumehamia kwenye boda boda siku hizi. Upo mpaka lini Amu ?
thankx nipo sana mwenzio niombee heri
Sisi tumeachana na bodaboda tumehamia kwenye bajaji