Tanga wing ahsanteni sana!Mbarikiwe kwangu mimi ilikuwa zaidi ya nlichokitegemea!

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
16,103
30,990
mohamed Mtoi ahsante sana hii kumbukumbu haitasahaulika miaka dahali umenizikia dada yangu.
YNNAH your special my dia from lushoto to mabawa hii sitaisahau.
arabella thanx mamii Mungu akutangulie katika mambo yako japo ulibanwa ila ukatafuta dakika 2 kuja kutuona.
Mwanyasi ahsante sana ubarikiwe jamani.
Wanacc/jf mwenzenu nlikuwa nauguliwa na my dada yeye alikuwa ameolewa tanga na kuishi huko.
Jumatatu iliyopita alizidiwa jumanne nikaenda Tanga cku hiyo jumanne.Juma5 akapumzishwa ngamiani alhamic akalazwa bombo hospital.
Hali ikazidi kuwa tete ijumaa asubuhi asubuhi wakamumewekea oxygen,mamipira kibao.
Kufikia hapo tulichoka kimwili kiakili ukizingatia tulienda wawili tu kumuuguza na plan ilikuwa akipata nguvu kidogo turudi dar familia ilipo augulie dar.
Mpaka ijumaa jioni ndugu karibia wote walifika tanga.
Jumamoc mida ya saa 1 asubuhi alifariki.
Tukamzika jumamoc hiyohiyo saa kumi.
Ahsante wote nlio nipigia cm kunipa pole.
Kweli nimeamini cc ni ndugu for me ckutegemea.
 
Last edited by a moderator:
Pole rafiki yangu taarifa huu ndio naiona pole sana ndugu yangu pole sana?
 
pole dada kwa kuuguza na msiba uliokukuta...Mungu awape nguvu...
 
pole sana amu Mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
mhhhhh amu! mhhhh! sina cha kusema lakini pole mwaya! Mungu amrehemu dada!

(siku nikikutana na wewe wallah nakukoa makwenzi! utajuta!)
 
Last edited by a moderator:
mhhhhh amu! mhhhh! sina cha kusema lakini pole mwaya! Mungu amrehemu dada!

(siku nikikutana na wewe wallah nakukoa makwenzi! utajuta!)

aaa bibie kumbuka hupokeagi cm yangu
nimeshapoa mwenzio
 
Last edited by a moderator:
amu dia.. Pole kwa mara nyingine.. Niwie radhi sikiweza kushiriki ipasavyo kutokana na kuchelewa kupata taarifa na mambo yaliyokuwa yananikabili. Btw i was happy to see you
 
Last edited by a moderator:
Karibu amu, tuko pamoja. Na mungu akipenda jmos tutakuwa wote tena.
 
Last edited by a moderator:
Dah! So sad amu... sorry for what happened. May her soul rest in eternal peace amen.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom