Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Taarifa kuhusu hali ya Mzee Frederick Sumaye
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye alikuwa mkoani Tanga, akiendelea na ratiba ya ziara ya shughuli za chama mkoani humo kabla ya ya kupatwa na shida ya afya ghafla leo asubuhi.
Baada ya kutibiwa Hospitali ya Mkoa wa Tanga hali yake inaendelea vizuri, na sasa amepumzika wakati mipango ya kumsafirisha kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili leo hii, kwa ajili ya uchunguzi zaidi ikifanyika.
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Habari
Chadema