Tanga na jua kali kunani? Ni laana? Hii siyo kawaida

sacred wall

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
804
1,318
Jamani Tanga kunani? Mbona juakali linaua viumbe?

Ukame tena jamani! Kalinyesha ka mvua kidogo tukapata majani kidogo, sasa ni jua kama la tanuru la Moto.
 
Ombeni mpate ya kiasi na msinung'unike maana inaweza nyesha ukatamani hilo jua ,
 
Labda huko Tanga jiji ila sisi huku Wilayani ni full kijani.
 
Siyo kila kitu laana hata Manaabii na vipenzi vya Mwenyezi Mungu walipata matatizo mazito lkn ilikuwa ni mitihani tu baadae mambo yakawa shwari tu .
Bora umeniwahi kusema hili,wabongo kila kitu ni laana tu.hawataki shida ya aina yeyote utafikiri mitume na manabii wao waliishi raha mustarehe kabisa.

Hata wasio na dhambi Kuna wakati mitihani,majaribu na mapito wanapitia ili kupima imani zao.

Tuweni na Imani wana Tanga wenzangu
 
Back
Top Bottom