Tanga: Mwanafunzi wa miaka 9 mbaroni kwa kumuua mwanafunzi mwenzake

Kwa wajuzi wa sheria huyo dogo ikithibitika kaua kweli ni adhabu gani anaweza kupewa kwa umri huo??
Chukua hiyo
sheria.za.tanzania_1634541549937119.jpg
 
Jeshi la polisi mkoani Tanga linamshilikia mtoto wa miaka (9) mkazi wa mji mpya Hale na mwanafunzi wa shule ya msingi kichangani darasa la tatu iliopo wilayani Korogwe mkoani Tanga Kwa kosa la mauwaji ya Ally khalifa Bakari (9) mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Kichangani mkazi wa Msalo Hale.

Akizungumza na TBC kamanda wa polisi mkoa wa Tanga Safia Jongo amesema mauwaji hayo yametokea majira ya saa nane January 28 mara baada ya wanafunzi hao kutoka msikitini.

Amesema tayari maafisa wa polisi wakiongozwa na mkuu wa upelelezi wilayani Korogwe wamefika katika eneo la tukio kwa uchunguzi zaidi.

Kamanda Jongo amesema mwili wa marehemu umekutwa na majeraha mengi sehemu mbalimbali hivyo uchunguzi wa kina unaendelea ili kubaini kama tukio hilo limefanywa na mwanafunzi huyo pekee.

Kwa upande wake Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kichangani Riziki Selungato yeye anasema watoto hao waliruhusiwa muda wa saa sita na robo mchana ili waende msikiti kuswali wote wakiwa salama.
Tabia za kufundisha watoto mapanga na carate kwenye nyumba za ibada,haya ndio matokeo.
 
Mamaeeee mnatifuana Tigo weee


Wazazi wakorofi mnapigana vipigo mbele ya watoto


Watoto Wa nachojua ni muvi za Komando aliyeua kwakutumia Pen


Wanaume mnakulana mikundu

Wanawake mnasagana.


Mungu ameliacha Taifa ...

Alafu mnashangaa mauaji??? Na bado ,ngoja Vitoto vianze kuwawekea simu wazazi....mpaka muombe po
 
Acheni utaahira basi, mtoto wa miaka 9 hawezi kufanya mauaji ya mwenzake, hilo nakataa. Tafutemi aliyefanya hayo mauaji na kumpa majeraha huyo victim. Kwanza hamjatujulisha ni mazingira gani yamewafanya mhisi kwamba yeye ndiye kaua, hamjasema hata motive, habari gani hii?
 
Bila kutubu, damu yake haitatuacha salama, tubuni, pia malizieni bwawa la Nyerere kama Redemption!
 
Kuna maana inapita kwenye hii nchi kwa chini chini...tunahitaji maombi.
 
huu mwaka umeanza kwa kasi sana na matukio kila leo likitoka hili linakuja lingine

La polisi aliyejinyonga kwa dekio bado halijapoa limekuja lingine dah
Kajinyonga au kauwawa? Dekio linafanya nini mahabusu, si wawape na visu na wembe na petroli kabisa. Halafu alikuwa pekeyake humo mahabusu?!
 
Back
Top Bottom