Tanga: Mwanafunzi wa miaka 9 mbaroni kwa kumuua mwanafunzi mwenzake

A person under the age of twelve years is not criminally respons-
ible for an act or omission, unless it is proved that at the time of
doing the act or making the omission he had capacity to know that
he ought not to do the act or make the omission.
 
huu mwaka umeanza kwa kasi sana na matukio kila leo likitoka hili linakuja lingine

La polisi aliyejinyonga kwa dekio bado halijapoa limekuja lingine dah
 
Kuna juvenile detention. Ni kama gereza lakini ni kwaajili ya kwenda kumfunza tabia njema. Hawezi kufungwa jela.
Je huko atapata huduma muhimu kama elimu, chakula bora kama watoto wengine.
Na mahakamani inakuaje? Anasimamishwa kizimbani pia kujibu mashataka yake mbele ya mawakili hatari wanaotaka kumtia hatiani kwa maswali ya kimtegomtego kama tuonavyo kwa kesi za watu wazima??
 
Back
Top Bottom