dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,120
- 49,368
... sitaki kuamini ni akili zake huyo dogo. Mapepo wachafu watakuwa walimwingia kutenda hayo.Yani wametoka msikitini halafu wanafanyiana shari na ubaya kiasi cha kuuana ?
Mmnh

Shukran mkuu umenifungua akili.Chukua hiyoView attachment 2098796
AhahhahahahaHujachelewa Nenda Chato ukazikwe naye