Elections 2010 Tanga mjini, ccm aibu!!!!

tanga kwetu

JF-Expert Member
May 12, 2010
2,193
1,434
Habari toka very reliable and internal source ni kwamba, mgombea wa CCM ameshindwa kwa mgombea wa CUF lakini hataki ku-sign form za matokeo. Ilifika wakati akataka kumhonga mgombea huyo wa CUF milioni 100 za kitanzania ili akubali kushindwa lakini jamaa akaapa 'over his dead body' hadanganyiki. Taarifa zinasema kwamba, hapo awali ilionekana CCM wameshinda na wafuasi wa CCM katika kushangilia ushindi wao wakaenda kumtukana Bw. Kisauni (aliyekuwa meya wa jiji na aliyeshika namba 2 kwenye kura za maoni). Bw. Kisauni akaghathibika akauza siri iliyotumika kuongeza kura feki zilizompa ushindi jamaa wa CCM. Ni kwamba, kulikuwa na kura 5,230 zilizokutwa hazina mihuri na zilipotolewa kwenye hesabu ndio jamaa wa CUF akashinda kwa tofauti ya 400. Jamaa wa CCM akagoma akasema kura zirudiwe, ziliporudiwa idadi ikapanda toka 400 hadi 600. hadi sasa hapa Tanga mjini ni sintofahamu ya hali ya juu.
Why majimbo yoooooooooote yenye mwelekeo wa upinzani kushinda majibu yanachelewa?
 
kilichobaki Umma uingie kitaa kustrike matokeo yatolewe haraka na leo hii..mpaka sasa hakuna kisichojulikana. Dr.Slaa rais. Watabana wee mwishowe wataachia
 
kilichobaki Umma uingie kitaa kuandamana matokeo yatolewe haraka na leo hii..mpaka sasa hakuna kisichojulikana. Dr.Slaa rais. Watabana wee mwishowe wataachia
 
Safi sana Tanga. City zote za Tanzania hawadanganyiki sasa tunaelekeza majeshi vijijini hadi kieleweke 2015 CCM out
 
Kila kitu kina mwisho wake,haki ya mtu haipotei, na CCM AKA "Mafisadi" wanatakiwa kulijua hilo!
Wananchi wana uelewa na wameamua.
People's Power ni nomaaaaa!!
 
Back
Top Bottom