pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,038
- 5,259
Nina hakika wote ukiwashauri hilo watajibu kuwa wamesameheSerikali iwalipe fidia kwa "kuwapotezea" muda wao!.
Nina hakika wote ukiwashauri hilo watajibu kuwa wamesameheSerikali iwalipe fidia kwa "kuwapotezea" muda wao!.
South africa,wanamfunga Rais wao wa zamani,kwa matumizi mabaya ya ofisi, Sisi huku ndio wanaachiliwa kwa kasi,harafu eti nchi itaondokana na rushwa na ufisadi.
Nenda kamfuate shetani mwenzio!South africa,wanamfunga Rais wao wa zamani,kwa matumizi mabaya ya ofisi, Sisi huku ndio wanaachiliwa kwa kasi,harafu eti nchi itaondokana na rushwa na ufisadi.
Ebu fikiri kama Magufuri angelisema tubadilishe vipengele vya Katiba,tuwashitaki Marais wasitahafu, Nyinyi ndio mgekuwa wa kwanza kulalamika,kuna kipindi chadema walitoa list of shame ya mafisadi papa, Magufuri alipopata madaraka kaanza nao chakushangaza, chadema ndio waliokuwa wa kwanza kuralamika eti utawala wa Magufuri,anaonea watu.Sasahivi wameamia kwenye Katiba utafikiri Katiba inatungwa na malaika.Katiba yetu hairuhusi kumshtaki na kumfunga Rais aliyestaafu kwa makosa aliyofanya akiwa madarakani.
Ebu fikiri kama Magufuri angelisema tubadilishe vipengele vya Katiba,tuwashitaki Marais wasitahafu, Nyinyi ndio mgekuwa wa kwanza kulalamika,kuna kipindi chadema walitoa list of shame ya mafisadi papa, Magufuri alipopata madaraka kaanza nao chakushangaza, chadema ndio waliokuwa wa kwanza kuralamika eti utawala wa Magufuri,anaonea watu.Sasahivi wameamia kwenye Katiba utafikiri Katiba inatungwa na malaika.
Dikteta shetani alaaniwe uko alipoHatuna majibu
Bila shaka upumbavu ni kipaji cha ukoo wako hatuna namna ya kuwasaidiaNdio maana nimekuita mpumbavu,unajua maana ya kuabudu au unabwabwaja tu?
Duuh! Ningejua nabishana na mtu ambaye hata kuandika hawezi wala nisingesumbuka! Ujinga bado unakusumbua!Ebu fikiri kama Magufuri angelisema tubadilishe vipengele vya Katiba,tuwashitaki Marais wasitahafu, Nyinyi ndio mgekuwa wa kwanza kulalamika,kuna kipindi chadema walitoa list of shame ya mafisadi papa, Magufuri alipopata madaraka kaanza nao chakushangaza, chadema ndio waliokuwa wa kwanza kuralamika eti utawala wa Magufuri,anaonea watu.Sasahivi wameamia kwenye Katiba utafikiri Katiba inatungwa na malaika.
Mama alijua uonevu wa boss wakeHivi hii tutaita "justice saved" ama "utashi wa Mama"!!??
Hivi William Sherukindo na Sherukindo huyu wa dstv wana undugu wa aina gani?
Majizi myafuge wenyewe halafu mjifanye mnawahitaki?! Shenzi! Wakati mkiwapa majizi soft allegations, watanzania wengine wasio na hatia walikuwa wanapigwa risasi, wengine wakipotea.Ebu fikiri kama Magufuri angelisema tubadilishe vipengele vya Katiba,tuwashitaki Marais wasitahafu, Nyinyi ndio mgekuwa wa kwanza kulalamika,kuna kipindi chadema walitoa list of shame ya mafisadi papa, Magufuri alipopata madaraka kaanza nao chakushangaza, chadema ndio waliokuwa wa kwanza kuralamika eti utawala wa Magufuri,anaonea watu.Sasahivi wameamia kwenye Katiba utafikiri Katiba inatungwa na malaika.
bothHivi hii tutaita "justice saved" ama "utashi wa Mama"!!??