Tanga: Mbunge wa zamani Bumbuli, wenzake waachiwa huru na mahakama

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
16,090
2,000
Katiba yetu hairuhusi kumshtaki na kumfunga Rais aliyestaafu kwa makosa aliyofanya akiwa madarakani.
South africa,wanamfunga Rais wao wa zamani,kwa matumizi mabaya ya ofisi, Sisi huku ndio wanaachiliwa kwa kasi,harafu eti nchi itaondokana na rushwa na ufisadi.
 
mtumishiwaleo

JF-Expert Member
May 4, 2020
649
1,000
Katiba yetu hairuhusi kumshtaki na kumfunga Rais aliyestaafu kwa makosa aliyofanya akiwa madarakani.
Ebu fikiri kama Magufuri angelisema tubadilishe vipengele vya Katiba,tuwashitaki Marais wasitahafu, Nyinyi ndio mgekuwa wa kwanza kulalamika,kuna kipindi chadema walitoa list of shame ya mafisadi papa, Magufuri alipopata madaraka kaanza nao chakushangaza, chadema ndio waliokuwa wa kwanza kuralamika eti utawala wa Magufuri,anaonea watu.Sasahivi wameamia kwenye Katiba utafikiri Katiba inatungwa na malaika.
 
Cliffhanger

JF-Expert Member
May 22, 2018
724
1,000
Hutu Immigrants walikuwa na roho mbaya kwa kiwango ambacho hata Ziraili hangeweza kukifikia. Mbaya zaidi kwa kujificha chini ya kivuli cha Usukuma wamewaharibia watani zangu Wasukuma ambao zaidi ya ushamba hawana matatizo na mtu na ni wakarimu kupitiliza!
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
16,090
2,000
Africa Kusini Rais hafungi marais waliopita au watu wanaotuhumiwa kuwa mafisadi. Cyril Ramaphosa hahusiki na kesi za Zuma zilizoanza kabla Zuma hajawa Rais na zile zilizoendelea akiwa Rais na baada ya kuachia Urais.
Tunataka katiba mpya ambayo itahakikisha polisi, mfumo wa mashtaka na mahakama zinakuwa huru kutoka katika makucha ya wanasiasa hasa Rais.Hatutaki vyombo hivyo viendeshwe kwa mood na hulka ya Rais aliyeko madarakani.
Ebu fikiri kama Magufuri angelisema tubadilishe vipengele vya Katiba,tuwashitaki Marais wasitahafu, Nyinyi ndio mgekuwa wa kwanza kulalamika,kuna kipindi chadema walitoa list of shame ya mafisadi papa, Magufuri alipopata madaraka kaanza nao chakushangaza, chadema ndio waliokuwa wa kwanza kuralamika eti utawala wa Magufuri,anaonea watu.Sasahivi wameamia kwenye Katiba utafikiri Katiba inatungwa na malaika.
 
Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
7,537

Duuh! Ningejua nabishana na mtu ambaye hata kuandika hawezi wala nisingesumbuka! Ujinga bado unakusumbua!
 
Jorojik

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
3,936
2,000
Ebu fikiri kama Magufuri angelisema tubadilishe vipengele vya Katiba,tuwashitaki Marais wasitahafu, Nyinyi ndio mgekuwa wa kwanza kulalamika,kuna kipindi chadema walitoa list of shame ya mafisadi papa, Magufuri alipopata madaraka kaanza nao chakushangaza, chadema ndio waliokuwa wa kwanza kuralamika eti utawala wa Magufuri,anaonea watu.Sasahivi wameamia kwenye Katiba utafikiri Katiba inatungwa na malaika.
Majizi myafuge wenyewe halafu mjifanye mnawahitaki?! Shenzi! Wakati mkiwapa majizi soft allegations, watanzania wengine wasio na hatia walikuwa wanapigwa risasi, wengine wakipotea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom