Tanga kunani pale tanga mbona sasa FULSA zimekuja!!!!!!!!

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
934
1,000
Wandugu za wikend,sasa ni wakati wa watu wa tanga FULSA zimekuja kwa ujio wa Bomba LA mafuta LA kutoka Uganda,kwa hiyo nawaomba wale wanamuziki Wagosi wa kaya waufanye Remix ule wimbo wa kunani pale Tanga mbona kila kitu kimekufa, nitawashukuru sana!!!!!!!!
 

LadyAJ

JF-Expert Member
Oct 21, 2015
7,143
2,000
Kaka zangu wanaume wa Tanga sasa ndio mfanye kazi,mambo ya kucheza bao mkiwa mmevaa misuli muache maana wadigo wenzangu mwajijua tabia zenu fulsa ndio hizoo mmeletewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom