TANGA: Coaster lagonga Lori kwa nyuma maeneo ya Lusanga, watu kadhaa wapoteza Maisha

Al Jazeera wakati wanatangaza ajali ya watoto wamesema Tanzania ni kati ya nchi zenye ajali nyingi za barabarani duniani.Kama kweli vile.Something is not okay kwenye mfumo wetu wa driving
 
Kwani jinamizi hili limekuwa linazunguka every site, mungu warehemu wahanga wa ajali hii Tena, Amina
 
My prayer to injured passengers and my sincerely condolences to families who lost their relatives and family members.

Vijana wa Chadema watataka siku 3 za Maombolezo na Bendera ipepee nusu mlingoti pia watataka Ujengwe Mnara wa Kumbukumbu na Siku kama ya Leo iwe kumbukumbu Kuwakumbuka waliokufa na ajali Tanga. They are living in different world!
Duh zero kabisa baadhi ya watu. Sasa hapo chadema wanaingiaje badala ya kutoa pole yako na kupepea tuu. Utakuta na wewe ni kiongozi wa serikali. Kweli tuba safari ndefu sana.....
Siasa zitawaponza...... Siyo kila jambo lazima uhusishe na uchadema na uccm. Pooor tz!
 
The grim reaper is currently very busy harvesting our souls. Ee Mola tunusuru na ajali hizi. Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za marehemu mahala pema peponi na nawaombea majeruhi wote waweze kupona kwa haraka. Amina.
 
Duh zero kabisa baadhi ya watu. Sasa hapo chadema wanaingiaje badala ya kutoa pole yako na kupepea tuu. Utakuta na wewe ni kiongozi wa serikali. Kweli tuba safari ndefu sana.....
Siasa zitawaponza...... Siyo kila jambo lazima uhusishe na uchadema na uccm. Pooor tz!
Huyo hajielewi
Yani mijitu mingine sijui akili zao zinakalia upande gani wa mwili
 
Kesho natakiwa kwenda iringa na bus lakini ngoja nitulie kwanza, nadhani upepo haujatulia huko mabarabarani
 
Eeh Mungu uponye taifa dhidi ya vifo hivi, au ukiona ni lazima basi hamishia hasira zako pale ufukweni tuondolee Dikteta tu na Bashite basi.
 
Hakika ss ni wake na kwake tutarejea, njia ni moja, pole sana kwa ndugu walio poteza maisha tuwe na subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwan yote ni mipango yake "jah"
 
My prayer to injured passengers and my sincerely condolences to families who lost their relatives and family members.

Vijana wa Chadema watataka siku 3 za Maombolezo na Bendera ipepee nusu mlingoti pia watataka Ujengwe Mnara wa Kumbukumbu na Siku kama ya Leo iwe kumbukumbu Kuwakumbuka waliokufa na ajali Tanga. They are living in different world!
Unawashwa bado
 
Back
Top Bottom