TANESCO's legal department incompetent, says Ngeleja

millet-president-jakaya-kikwete.jpg

Dont tell me this is a Leader of 40+ milioni people.!!!!!!!!
what was he promoting?
na hako kabinti kanimtegeshea hayo magoti nini?
 
Whether it is true or not yeye Ngeleja kama waziri anayeongoza so "called shirika mfu" kwa muda mrefu sasa aliona nini akasema kutakua hamna tena tatizo la umeme? NI nani hasa aliyemteua huyo bosi wa Tanesco? Wakati anamteua alikua anatafuta mtu competent atakaye hakikisha shirika lina watu competent? Hatujasikia Tanesco wakitoa kauli za ovyo ovyo ingawa nao wana-share yao ya uzembe, wanaokimbilia kulipa DOWANS ni wengine, waliosema tatizo la umeme limekwisha ni wengine, wamekuja na staili mpya sasa ya blame game? Then what?

The Best Way to Escape a Problem is To Solve It!


Duhh, huu uongo mwingine, zimo nakala za kesi ya Dowans hapahapa JF tumeona ni Tanesco iliyosaini mkataba na Dowans, tumeona ni Tanesco iliyozuwia mitambo ya Dowans wasiichukuwe na kuiuza.
 
Ngeleja asifikiri watanzania ni wapumbavu. Incompetency ya TANESCO inatoka wapi wakati walikataa kuhamisha mkataba kwenda dowans lakini Karamagi akalazimisha tena akiwa Canada kwa hao ambao leo Ngeleja bila aibu anatuambia kuwa ndio wamiliki wa dowans.
 
Hivi Government Negotiation Team ni legal Department ya Tanesco? hivi hizo barua toka waziri mkuu, kwenda nishati na baraza la mawaziri wanavyo toa maamuzi wote hwa ni legal department ya Tanesco? maana siku hizi tanesco imekuwa kubwa kweli hata hujui inaanzia wapi na kuishia wapi.
 
ye mwenyewe ni kichaa tuu, pamoja na malima wake.
kwani hata hao mawakili walioenda kuitetea Tanesco ICC walikuwa wa tanesco?
 
Hivi hawa waPUMBAvuu wanajisikilizaga wenyewe baada ya kuongea hizi PUMBA zao? Report ya mwakyembe ilionyesha wazi kwamba kulikua na shinikizo toka kwa PM lowasa ili richmond wapewe zabuni. Hv unazan ktk hali hiyo kweli mkataba utatoka legal dptment ya tanesco. Huo mkataba kma hakuandika RA basi aliandika EL mwenyewe.
Asitake kutufanya wajinga mpuuzi kbs,waTZ tunarudishwa nyuma kimaendeleo na wana siasa me nazan kma tanesco ingeachwa kusimamia mikataba hii na tangu mwanzo kusingekua na ufisadi na namna hii ktk sekta ya madini
 
Ntoa onyo kali. Ngeleja should resign tomorrow at 08am, failure to do so he must be dealt na umma perpendicularly. Nadhani alichakachua kura huyu jamaa. au classmate wake tajiri yake??
 
=Safari_ni_Safari;1489511]Energy and Minerals minister, William Ngeleja yesterday criticised Tanzania Electric Supply Company Ltd (Tanesco) legal department for incompetence which has contributed to endless contract disputes with power investors.

"Tanesco legal department is incompetent," said the minister and called for its restructuring during a meeting with Tanesco workers and management in Dar es Salaam yesterday.

Citing controversial contracts such as the ones with Dowans and Independent Power Tanzania Ltd (IPTL), the minister said the firm's legal department has completely failed to assist Tanesco to efficiently negotiate contracts with investors.


- Waziri wa serikali, amegundua kwamba katika wizara anayoiongoza kuna shirika la umma ambalo uongozi wake una matatizo, badala ya kuchukua hatua mara moja ya kuwafukuza kazi mara moja wazembe, anakwenda kwenye media na kuongea nonsense halafu Mh. Chikawe analia kwa nini Mwakyembe na Sitta wanamkemea Mh. Ngeleja, I mean only in Tanzania unaweza kuona hivi vituko!, I mean political dramas!

William
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom