TANESCO yaingia mkataba wa kukodi software kutoka India kwa USD 30M

Huyu Makamba ana tatizo la kurithi nadhani, hii ndoto yake ya urais italiumiza sana hili taifa.
Na anajitahidi kwa nguvu zote kupata hela yakuongeza nguvu kwenye uchaguzi wa urais ,hizi ndoto zao zinatufanya tuumie sisi watanzania kabisa
 
Wizi mtupu.

Unatumia billion 65 kununua software huku vijiji 2000 havijapata umeme.
Bora ingekuwa inanunuliwa. Lakini hapo juu tumeambiwa fedha hii ni kwa kukodisha hiyo software. Maana yake ni kwamba hiyo software inabaki kuwa mali ya hao wanaotukodishia. Ni lini tutajifunza?
 
Ka iyo wewe unamwamini huyu sukuma gang wanaoamini makamba amemuua mungu wao hadi wanaanza kumwandama humu kila kukicha?🤣🤣🤣
 
TAtizo la mtoa Uzi ni mshamba, mill 30 kwa software ni ya kawaida kwa kampuni kubwa kama TANESCO

Mmezoea kutumia software za uwizi unafikiri kampuni kubwa kama TANESCO nao watatumia hapana
Milion 30 unadhani kuna mtu angekuja kulalamika soma vizuri ni dollar milion 30 (usd) yani tunazungumzia bilion 66 tzs karibia
 
Watanzania naona tulisahau kabisa ajenda ya ufisadi wakati wa Magufuli, mpaka sasa kuna ufisadi umefanyika fasta fasta bila ya watu hata kushtuka.

Mkataba uliosainiwa baina ya Serikali ya Tanzania (kupitia TANESCO) na kampuni ya Tech Mahindra ya India wenye thamani ya dola milioni 30 ni wa kukodisha software ya Enterprise Resources Planning (ERP) - ambayo wahindi hawa wenyewe wanaiita Corporate Management System (CMS), kama inavyosomeka kwenye bango pichani chini.

Software ya aina hii huwa inaunganisha vitengo vyote vya taasisi katika software moja kwa ajili ya urahisi wa kuendesha taasisi. Hivyo basi kwa lugha nyingine ni kwamba Wahindi hawa watafunguliwa milango ya kuingia kila mahali ndani ya TANESCO, na hivyo kuwa na siri zote za mfumo wetu wa umeme.

Jambo kama hili ni hatari sana kwa usalama wa taifa. Hakuna njia rahisi ya kuiangusha nchi bila ya kufyatua hata kombora moja kama kuangusha mfumo wa nchi wa umeme.

Software kama hizi serikali inatakiwa iwawezeshe wataalam wa ndani kupitia Mamlaka ya Serikali Mtandao kutengeneza, kama vile mfumo wa malipo serikalini ulivyotengenezwa na wataalam wetu wa ndani kwa kuwezeshwa na serikali.

Zabuni ya kukodisha software hii ilianzaga kwenye dakika za lala salama za utawala wa Kikwete. Hivyo basi kitendo cha zabuni hii kukaa benchi kwa miaka mitano ya Magufuli kinaonesha kuwa hakuwa amekubaliana nayo. Baada ya Magufuli kufa naona wadau wa zabuni hii wameiendeleza na kuimwagia wino fasta, kama wanavyotaka kufanya kuhusu bandari ya Bagamoyo.

img-618a884f193e3.jpg
Wahindi ni mabeberu vilevile. Wamekua wanatupiga sana kwa kushirikisna na vigogo fisadi ndani ya serikali yetu. Sasa dola million 30 kwa tanesco ni fedha nyingi na wala tathmini ya kiadilifu ingeonyesha its not worth.
Ukirejea dili za wahindi ttcl, TRC, mtu ungeshtuka. Bunge inafaa liunde kikosi kufuatilia huu ufisadi unarejea fasta.
Hakika mama atatuumiza sana kwa kuwarejesha wajuzi wa kupiga hela ya umma na kuwaondoa watu weledi na wazalendo. Anawaondoa wenye Phds na kuwaweka wajuzi wa kupiga hela ya umma.
 
TAtizo la mtoa Uzi ni mshamba, mill 30 kwa software ni ya kawaida kwa kampuni kubwa kama TANESCO

Mmezoea kutumia software za uwizi unafikiri kampuni kubwa kama TANESCO nao watatumia hapana
30 Million Dollars = 69 Billion Tanzania Shillings aisee tuache utani, hiyo software ina nini cha ziada, ni license ya muda gani ?

Serikali ingeweza kuunda timu ya kuunda huo mfumo na kuna uwezekano ungekuwa ni chini ya nusu ya gharama na ungemilikiwa 100% na serikali sio haya mambo ya kukodi. Mbona GepG imeundwa na wataalamu wa ndani na inafanya kazi bila matatizo yoyote...unafikiri serikali ingeamua kukodi mfumo wa malipo ya nchi nzima wangetumia gharama kiasi gani ?
 
TAtizo la mtoa Uzi ni mshamba, mill 30 kwa software ni ya kawaida kwa kampuni kubwa kama TANESCO

Mmezoea kutumia software za uwizi unafikiri kampuni kubwa kama TANESCO nao watatumia hapana
60+ billion Ni kidogo? Vipi kuhusu watalamu wetu walioweza kutengeneza mfumo wa e gov,Leo Tena hawajui kitu mpaka tukakodi software kwa billion 60,000,000,000/= ! Bro unatania eti?
 
TAtizo la mtoa Uzi ni mshamba, mill 30 kwa software ni ya kawaida kwa kampuni kubwa kama TANESCO

Mmezoea kutumia software za uwizi unafikiri kampuni kubwa kama TANESCO nao watatumia hapana
We mshamba sikiliza sio milioni 30 ni us dola 30 ukibadili unata zaid ya billion 60 afu pia sio kununua hapo inakodiwa tu manake sio yetu hahahah nchi tamu sana hii mama anaupiga mwingi
 
TAtizo la mtoa Uzi ni mshamba, mill 30 kwa software ni ya kawaida kwa kampuni kubwa kama TANESCO

Mmezoea kutumia software za uwizi unafikiri kampuni kubwa kama TANESCO nao watatumia hapana
Tuliza puru usome uelewe!

USD 30 million ni equivalent na billion 69.5 za kitanzania! Hizo pesa ni nyingi mno kuna vichwa viko UDSM,DIT,IFM ambavyo with a fraction of that amount of money wangeweza ku develop system nzuri tu kwa msaada kidogo tu wa hao wahindi!

Haiingii akilini mtu alipe zaidi ya 70 billions kwa kukodi system mara mia angekuwa amaeinunua mazima! Hapo kuna upigaji wa kutisha sana! Hio system nauhakika haina thamani zaidi ya billion 10 kwa kuikodisha tu.
 
Watanzania naona tulisahau kabisa ajenda ya ufisadi wakati wa Magufuli, mpaka sasa kuna ufisadi umefanyika fasta fasta bila ya watu hata kushtuka.

Mkataba uliosainiwa baina ya Serikali ya Tanzania (kupitia TANESCO) na kampuni ya Tech Mahindra ya India wenye thamani ya dola milioni 30 ni wa kukodisha software ya Enterprise Resources Planning (ERP) - ambayo wahindi hawa wenyewe wanaiita Corporate Management System (CMS), kama inavyosomeka kwenye bango pichani chini.

Software ya aina hii huwa inaunganisha vitengo vyote vya taasisi katika software moja kwa ajili ya urahisi wa kuendesha taasisi. Hivyo basi kwa lugha nyingine ni kwamba Wahindi hawa watafunguliwa milango ya kuingia kila mahali ndani ya TANESCO, na hivyo kuwa na siri zote za mfumo wetu wa umeme.

Jambo kama hili ni hatari sana kwa usalama wa taifa. Hakuna njia rahisi ya kuiangusha nchi bila ya kufyatua hata kombora moja kama kuangusha mfumo wa nchi wa umeme.

Software kama hizi serikali inatakiwa iwawezeshe wataalam wa ndani kupitia Mamlaka ya Serikali Mtandao kutengeneza, kama vile mfumo wa malipo serikalini ulivyotengenezwa na wataalam wetu wa ndani kwa kuwezeshwa na serikali.

Zabuni ya kukodisha software hii ilianzaga kwenye dakika za lala salama za utawala wa Kikwete. Hivyo basi kitendo cha zabuni hii kukaa benchi kwa miaka mitano ya Magufuli kinaonesha kuwa hakuwa amekubaliana nayo. Baada ya Magufuli kufa naona wadau wa zabuni hii wameiendeleza na kuimwagia wino fasta, kama wanavyotaka kufanya kuhusu bandari ya Bagamoyo.

img-618a884f193e3.jpg
Hawa Tech Mahindra ni SAP ya Wajerumani. Wahindi wa Mahindra conglomerate huwa kila technology wanaiga kutoka Wazungu, haswa Wajerumani. Hawa na ni sawa na Tata.
 
Hivi kama zile software za banks huwa wanalipia kiasi gani sasa? Maana hapo zamani nilisikia dola milioni moja kwa kila ATM kwa mwaka.

Kwa hivyo software kama hizi gharama zake ni kubwa sana. Ila sasa tunataka facts siyo rumors.
Dollar million 1 kwa mwaka ni kama 2.3B TZS kila mwaka! Kwa mabenki wanalipa hio na ni pesa reasonable!

Hio ya makamba nina hakika haizidi billion 10 kwa mwaka ila amerefusha mpaka billion 70 kwa kuhalalisha upigaji wake na kila mwaka hizo billion 70 zikiwa zinalipwa Tanesco lazma irudie kujiendesha kwa fadhila za serikali badala ya income streams zake!
 
Sio kwamba ufisadi ulikufa wakati wa Dikteta Magufuli, tatizo hapakuwa na vyanzo vya habari kuelezea mambo ya serikali.
Sio vyanzo vya habari bwana! Yani magufuli achukue billion 70 msijue😅 mbona ile 1.5T mtu aliropoka?
 
Watanzania naona tulisahau kabisa ajenda ya ufisadi wakati wa Magufuli, mpaka sasa kuna ufisadi umefanyika fasta fasta bila ya watu hata kushtuka.

Mkataba uliosainiwa baina ya Serikali ya Tanzania (kupitia TANESCO) na kampuni ya Tech Mahindra ya India wenye thamani ya dola milioni 30 ni wa kukodisha software ya Enterprise Resources Planning (ERP) - ambayo wahindi hawa wenyewe wanaiita Corporate Management System (CMS), kama inavyosomeka kwenye bango pichani chini.

Software ya aina hii huwa inaunganisha vitengo vyote vya taasisi katika software moja kwa ajili ya urahisi wa kuendesha taasisi. Hivyo basi kwa lugha nyingine ni kwamba Wahindi hawa watafunguliwa milango ya kuingia kila mahali ndani ya TANESCO, na hivyo kuwa na siri zote za mfumo wetu wa umeme.

Jambo kama hili ni hatari sana kwa usalama wa taifa. Hakuna njia rahisi ya kuiangusha nchi bila ya kufyatua hata kombora moja kama kuangusha mfumo wa nchi wa umeme.

Software kama hizi serikali inatakiwa iwawezeshe wataalam wa ndani kupitia Mamlaka ya Serikali Mtandao kutengeneza, kama vile mfumo wa malipo serikalini ulivyotengenezwa na wataalam wetu wa ndani kwa kuwezeshwa na serikali.

Zabuni ya kukodisha software hii ilianzaga kwenye dakika za lala salama za utawala wa Kikwete. Hivyo basi kitendo cha zabuni hii kukaa benchi kwa miaka mitano ya Magufuli kinaonesha kuwa hakuwa amekubaliana nayo. Baada ya Magufuli kufa naona wadau wa zabuni hii wameiendeleza na kuimwagia wino fasta, kama wanavyotaka kufanya kuhusu bandari ya Bagamoyo.

img-618a884f193e3.jpg
Kuna uhusika wa kampuni ya Softnet iliyoko pale Migombani Street Mikocheni, ambayo boss kubwa ana interest ndani yake? Pengine hiyo software can make things work. Ngoja tuone. Ila kama ndio yale yale
 
Back
Top Bottom