TANESCO haijafilisika. Imefilisiwa. Imekuwa shamba la bibi tangu enzi za EPTL. Akina Mwinyi, Kikwete, Kolimba wote walijichotea. Ikaja awamu ya Mkapa akawaweka shemeji zake pale na wapwa na net solutions. Awamu ya Kikwete wakaendeleza libeneke na Richmond Dowans. Akaingizwa fisadi Rashid naye akajichotea pamoja na nyumba ya bure.Km TANESCO haikopesheki inamaana serikali haipokesheki maana ni Taasisi ya Serikali. Otherwise ni blah blah. Tuwe makini na hoja zetu.
TANESCO haijafilisika. Imefilisiwa. Imekuwa shamba la bibi tangu enzi za EPTL. Akina Mwinyi, Kikwete, Kolimba wote walijichotea. Ikaja awamu ya Mkapa akawaweka shemeji zake pale na wapwa na net solutions. Awamu ya Kikwete wakaendeleza libeneke na Richmond Dowans. Akaingizwa fisadi Rashid naye akajichotea pamoja na nyumba ya bure.
Mie bwana kwa huyu jamaa (Idriss Rashid) nitapingana na watu hapa JF kwa nguvu zote kwasababu sikubaliani na nyie mnyonge mnyongeni haki yake mpeni they guy is a good CEO na Tanesco wengi wanamlilia.
Haya mkuu tupe data! Kwa nini walimlilia? Lazima kuna sababu ambazo ziliwafanya wamlilie si bure, tujuze mkuu.
Mtamwita Fisadi Idriss Rashid, Mtamwita mwizi wa kesi ya Rada but we are responsible for the collapse of Tanesco. Alipotaka kupandisha bei ya umeme alipingwa vikali eti watanzania hawawezi kumbe kuna watu walikuwa hawampendi tu na alikuwa akiwabania maslahi yao. Haya sasa shirika linawafia mikononi mwenu na Engineer mnayemtaka (new CEO) sijui mna mawazo gani. Tujifunzeni kuheshimu fani za watu sio kila kitu siasa.
TANESCO haijafilisika kama unavyosema! Inahitaji tu mwendeshaji aliye na uchungu na chi yake! Kwasasa 'connection' ni 14%. The sector is still booming!Kuna habari za ndani kuwa TANESCO imefilisika wala haikopesheki tena.source katibu mkuu wa wizara!kama kuna mwana jf aliye na data zaidi amwage hapa. Tukumbuke 8% only ya watanzania ndio wapatao umeme wa tanesco
Mtamwita Fisadi Idriss Rashid, Mtamwita mwizi wa kesi ya Rada but we are responsible for the collapse of Tanesco. Alipotaka kupandisha bei ya umeme alipingwa vikali eti watanzania hawawezi kumbe kuna watu walikuwa hawampendi tu na alikuwa akiwabania maslahi yao. Haya sasa shirika linawafia mikononi mwenu na Engineer mnayemtaka (new CEO) sijui mna mawazo gani. Tujifunzeni kuheshimu fani za watu sio kila kitu siasa.
Haya mkuu tupe data! Kwa nini walimlilia? Lazima kuna sababu ambazo ziliwafanya wamlilie si bure, tujuze mkuu.
au walimlilia kwasababu waliona uchochoro!!Haya mkuu tupe data! Kwa nini walimlilia? Lazima kuna sababu ambazo ziliwafanya wamlilie si bure, tujuze mkuu.
Haya mkuu tupe data! Kwa nini walimlilia? Lazima kuna sababu ambazo ziliwafanya wamlilie si bure, tujuze mkuu.