TANESCO yabadili jina rasmi

Retreat

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
229
70
TANESCO
P.O.BOX 00000
DAR ES SALAAM

Ndugu Mteja,

YAH: KUBADILI JINA LA SHIRIKA

Husika na kichwa cha habari hapo huu, shirika la kusambaza umeme Tanzania TANESCO (Tanzania Electric Supply Company Ltd) limeona vyema kubadili jina lake na kuwa TANDSCO (Tanzania Darkness Supply Company Ltd) yaani Shirika la Kusambaza Giza Tanzania. Hii ni kutokana na majukumu ya shirika kubadilika.

Endelea kufurahia huduma bora toka TANDSCO.

Imetolewa na Mkurugenzi wa TANDSCO Taifa.

“We Dark up your life”
 
I loooooove this! Natumaini msajili wa makampuni pale Brela atalipenda hili jina!
 
Safi sana na jina zuri kuliko la sasa maana ili lina mission and vision ya umeme Tanzania
 
TANESCO
P.O.BOX 00000
DAR ES SALAAM

Ndugu Mteja,

YAH: KUBADILI JINA LA SHIRIKA

Husika na kichwa cha habari hapo huu, shirika la kusambaza umeme Tanzania TANESCO (Tanzania Electric Supply Company Ltd) limeona vyema kubadili jina lake na kuwa TANDSCO (Tanzania Darkness Supply Company Ltd) yaani Shirika la Kusambaza Giza Tanzania. Hii ni kutokana na majukumu ya shirika kubadilika.

Endelea kufurahia huduma bora toka TANDSCO.

Imetolewa na Mkurugenzi wa TANDSCO Taifa.

"We Dark up your life"
TANDASCO is better than TANDSCO
 
Kama watabase kwenye darkness vipi kuhusu mchana? Au wataweka taa za giza mchana?
 
Kwenye jokes mkuu huku unazingua'tunapambana mambo yawe safi siyo utani'
 
Back
Top Bottom