TANESCO ya sasa imekuwa pambo; kipindi cha Magufuli ilikuwa ni ya kiutendaji

Wote mliokuwa kwenye kundi lake la watu wasiojulikana, mnadhani mkitaja hizo sababu mtaficha uovu wake. Ni hivi alikuwa dhalimu na muovu fullstop.
Huyu Mwamba mtamuelewa tu Mda ni dawa, Haya Mambo yanayoendelea Tanesco ni aibu kwa nchi yenye uhuru
 
Unapolalamika bila taarifa kamili tunashindwa kukuhudumia, tafadhali kama nia yako ni njema weka taarifa kamilo hata PM tutazifanyia kazi
 
Nimeshawafuata inbox week ya pili jinsi gani wanachi wanateseka bila huduma yenu, Mnasema mnafatilia hakuna Mabadiliko yoyote mpaka leo,mnataka taarifa ipi?
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
expand...
Tunashukuru kwa taarifa tunazifanyia kazi tunaomba uvumilivu wenu
👉Hakuna chochote mnachofanyia kazibMambo yako pale pale watu wanazidi kupata shida
 
Ila Kweli Tanesco Nyakato Mwanza sijui kuna shida gani! Mh. Waziri wewe tunakujua ni mchapa Kazi tusaidie. Yaani surveyor kumtoa ofisini aje kukukagua bila rushwa haji! Haya ukishalipia kuja kukuunganishia bila rushwa utakaa hivohivo! Maisha gani haya? Mbona sehemu nyingine wako tofauti sana Na hapa! Hata mtendaji mkuu wa Tanesco kila siku tunalalamikia uongozi mbovu wa hapa Nyakato yuko kimya tu! Tumeomba Umeme muda mrefu sana. Mh Waziri tusaidie!
 
Huyu Mwamba mtamuelewa tu Mda ni dawa, Haya Mambo yanayoendelea Tanesco ni aibu kwa nchi yenye uhuru
Mambo gani? Mbona huku kwetu hakuna? Uzembe wa sehemu x hauwezi kuwa justification ya Nchi nzima.

Toeni taarifa hatua zichukuliwe..
 
Ila Kweli Tanesco Nyakato Mwanza sijui kuna shida gani! Mh. Waziri wewe tunakujua ni mchapa Kazi tusaidie. Yaani surveyor kumtoa ofisini aje kukukagua bila rushwa haji! Haya ukishalipia kuja kukuunganishia bila rushwa utakaa hivohivo! Maisha gani haya? Mbona sehemu nyingine wako tofauti sana Na hapa! Hata mtendaji mkuu wa Tanesco kila siku tunalalamikia uongozi mbovu wa hapa Nyakato yuko kimya tu! Tumeomba Umeme muda mrefu sana. Mh Waziri tusaidie!
Mnashindwa kumchomesha pesa za moto huyo? Hakuna Takukuru huko kwenu?
 
Ila Kweli Tanesco Nyakato Mwanza sijui kuna shida gani! Mh. Waziri wewe tunakujua ni mchapa Kazi tusaidie. Yaani surveyor kumtoa ofisini aje kukukagua bila rushwa haji! Haya ukishalipia kuja kukuunganishia bila rushwa utakaa hivohivo! Maisha gani haya? Mbona sehemu nyingine wako tofauti sana Na hapa! Hata mtendaji mkuu wa Tanesco kila siku tunalalamikia uongozi mbovu wa hapa Nyakato yuko kimya tu! Tumeomba Umeme muda mrefu sana. Mh Waziri tusaidie!
Huu uozo ndio utakaofanya hii serikali ionekane haina Mamlaka yoyote, Hili swala wananchi wamelalamika mpaka kwa RAS hakuna hatua yoyote , kama wiki mbili zimepita wananchi wamelalamika wakajikusanya wakatuma muwakalishi kwa Mkurugenzi , cha ajabu Mkurugenzi akafunga ofisi kwa ndani, kuna Mwanamke msaidizi wake ,akaeleza kuwa wako na gari moja na surveyor wawili uwezo hawana, Serikali iko kimya tu watu wanapata shida mpaka unawonea huruma,mtu anaacha kazi zingine anafaatilia umeme ,kumpata surveyor week nzima bila Mafanikio

Mkuu wa mkoa uko wapi?
Waziri wa nishati yu wapi?
Waziri Mkuu rudi Tanesco aliyoyacha JPM muyaendeleze nchii hii itakuwa ndoto kuendelea bila nishati!

Rais Mh samia suluhu Mbona kimya

Ukitaka twende mbele
Nenda na haya
1)umeme
2)Maji
3)Haki
Hizi ndizo nguzo kuu za uhitaji wa wanamchi
 
Ila Kweli Tanesco Nyakato Mwanza sijui kuna shida gani! Mh. Waziri wewe tunakujua ni mchapa Kazi tusaidie. Yaani surveyor kumtoa ofisini aje kukukagua bila rushwa haji! Haya ukishalipia kuja kukuunganishia bila rushwa utakaa hivohivo! Maisha gani haya? Mbona sehemu nyingine wako tofauti sana Na hapa! Hata mtendaji mkuu wa Tanesco kila siku tunalalamikia uongozi mbovu wa hapa Nyakato yuko kimya tu! Tumeomba Umeme muda mrefu sana. Mh Waziri tusaidie!
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 
TANESCO ya sasa kwa siku 100 imekuwa ikiweka nguzo kama Mapambo bila kuunganisha umeme, hili limekuwa tatizo kubwa wananchi mpaka wamefikia hatua yakusema hakuna msaada serikalini kwa kuwa kuna nguzo zimeweka zaidi ya miezi mitatu 3 tangu Mh Rais samia awe Mkuu na Rais wa nchi hii, wa Tanesco wamekuwa wakiweka Magunzo bila kuunganisha umeme hii imekuwa sugu katika kituo cha Nyakato Mwanza

Waziri amka sasa acha kulala kwa mujibu wa katiba, Mwananchi ndio mwenye Mamlaka na ndio Mwajiri wako, fatilia sehemu zote zenye nguzo bila umeme, fukuza hao manager , surveyor ajili wengine
By wako Mwanadiplomasia
Kwa kazi tanesco wabafanya tuache utani

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom